Nikola24
JF-Expert Member
- Aug 26, 2024
- 597
- 1,240
Mimi ni kijana wa miaka 27 na siku kadhaa. Ni member wa team KATAA NDOA.
Sina mahusiano ya kimapenzi na demu yeyote.Na focus zaidi kwenye shughuli zangu za kimaisha rather than girls.
Sasa Nina hili tatizo kichwani.
Kila wakati mawazo ya fantansty sex yananijia.Mara nawaza nafanya mapenzi na wanawake mbali mbali ki amazing hivi.
Also korodani zimejaa sperms , sometimes huvimba au kuuma.
Sitaki kujichua wala demu.Nataka nizime hili tatizo.
Nimejitahidi mbinu mbali mbali kama kupumua pumzi nzito ku relax mawazo na kujiepusha kushika nyeti zangu. But dah Bado hali ni ile ile.
Naweza kuambiwa chochote kikanisaidia hapa? Nipo kwenye kiti hapa nahisi mirija ya manii ikiuma.