MAWAZO YA WATANZIA KUHUSU 1.5 TILIONI (JOKE)



Ubaya wa Zitto ni kwamba hajitambui bado, wenzake wanampotosha tu. Umesikia hotuba ya rais leo na uthibitisho wa CAG pamoja na katibu mkuu? Zitto atulizane tu kwa sasa, anapenda sana kupotosha watu kwa kuamini kuwa habari za uwongo anazopewa ni za kweli, matokeo yake ndiyo haya....haibu.
 
Kwa hiyo ile video inayomuonyesha CAG akielezea sintofahamu ya hizo trillion 1.5 na kulitaka bunge lijadili sakata hilo ni ya kutengeneza ama??

Yaani kwa maana hiyo ile report iliyotoka mwanzo kwa CAG ilikuwa sio sahihi au?

Zitto kwenye mambo kama haya huwa hakurupuki hata kidogo anajua ni jinsi gani yanavyobeba uzito wa afya ya taifa. Tangu afanye ile press wamechukua zaidi ya siku nne kumjibu wewe unategemea nini hapo kama sio kuipika upyaa hiyo report yenyewe
 
Hiyo hela una uwezo wa kujenga mkoa mzima wa wachawi tupu na shule zao kuanzia kindergarten mpaka chuo kikuu
Yaani unatengeneza kanda maalum ya wachawi na huo mkoa ndio unakuwa makao makuu ya juju duniani....
What a beautiful idea!
Daaaah mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona utapewa ukuu wa mkoa kwenye huo mkoa ase
 


Naomba anuani yako...naona wewe una matatizo ya kiakili.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…