Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
View attachment 3279688
Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani
Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae
Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa katika kufikia mafanikio yako
Na mawazo yako yatafanyiwa kazi mpaka ufikie lengo lako kamili ambalo huwa unaliwaza kila siku
Ni mafundisho ya baadhi ya dini kwamba hakika unakuwa vile unavyowaza
Ameandika mwanafilosofa wa zamani wa Rome Marcus Aurelis " maisha yetu yanatokana na mawazo tuliyokuwa nayo"
Mwanasaikolojia maarufu William James wa Havard anasema "imani inaweza kuifanya picha kwenye mawazo yetu kuwa ni kweli"
Your mental pictures are completed into reality by being converted into power by your subconscious
Ni hayo tu!
Kaka mshana wewe ni kati ya watu ninao amini mnawekeza sana kwenye fikra, hasa fikra huru .
ššæššæššæ Ila nadhani hiyo hali inanipa upweke na sometimes simanziš..Kaka mshana wewe ni kati ya watu ninao amini mnawekeza sana kwenye fikra, hasa fikra huru .
Your mental pictures are completed into reality by being converted into power by your subconsciousTunatishana sana ndugu zangu
Kivipi kaka mkubwaššæššæššæ Ila nadhani hiyo hali inanipa upweke na sometimes simanziš..
"Kwa maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo." (Mithali 23:7, SUV)
Mawazo bila vitendo ni bure kabisa.... Watumiaji wa madawa ya kulevya wanawaza hela hadi wanaota ndoto za hela lakin wanazidi kulowea kwenye umasikini hivyo huu utafiti wenu kaufanyeni upyaYour mental pictures are completed into reality by being converted into power by your subconscious
No hakuna upweke ndugu yangu , nikuna wimbi la vijana wa hovyo tu, limekuja kwa kasi, ila waungwana tunatafakari turudi vipi kwa nyuzi zako.ššæššæššæ Ila nadhani hiyo hali inanipa upweke na sometimes simanziš..
Nadhan unatuelewa vibaya,haimaanishi kwamba kuwaza tu peke yake ndio kutafanya ufanikiwe bila vitendoMawazo bila vitendo ni bure kabisa.... Watumiaji wa madawa ya kulevya wanawaza hela hadi wanaota ndoto za hela lakin wanazidi kulowea kwenye umasikini hivyo huu utafiti wenu kaufanyeni upya
Basi kuanzia Leo mimi ni billgatešView attachment 3279688
Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani
Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae
Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa katika kufikia mafanikio yako
Na mawazo yako yatafanyiwa kazi mpaka ufikie lengo lako kamili ambalo huwa unaliwaza kila siku
Ni mafundisho ya baadhi ya dini kwamba hakika unakuwa vile unavyowaza
Ameandika mwanafilosofa wa zamani wa Rome Marcus Aurelis " maisha yetu yanatokana na mawazo tuliyokuwa nayo"
Mwanasaikolojia maarufu William James wa Havard anasema "imani inaweza kuifanya picha kwenye mawazo yetu kuwa ni kweli"
Your mental pictures are completed into reality by being converted into power by your subconscious
Ni hayo tu!
Baada ya kuwaza hivyo fanya mambo ambayo yatakufanya walau ufikie kule unapotaka kufikaBasi kuanzia Leo mimi ni billgateš
Kimsingi mazingira yanachangia kufanya programming ya mawazo..Sometimes pia mazingira yanayokuzunguka yanachangia hatma ya maisha yako pia. Hata kama una mawazo ya kuchukua balon dior hauwezi kufanikiwa ukiwa unacheza simba au yanga. Hata kama una mawazo ya kuwa tajiri namba moja duniani hauwezi kufanikiwa ukifanya uwekezaji wako Tanzania. Mawazo pia yanatakiwa kukutana na fursa
Ngono zinatazamwa kila sehemu, Leta hoja nyingine.Wabongo tunatazama sana ngono ndo maana mawazo yetu ya kingono ngono