Sijasema kwamba akiwa WCB hatopata maendeleo, atapata maendeleo lakini sio kwa kiwango cha kumzidi Boss wake Diamond. Coz he is son of diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
This notion isn't always accurate.Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi wachache sana walioandika hili na hata inaelezwa ndio kitu halisi alichomuambia rafiki yake Gabriel Jesus.
Asingeweza kuwa mkubwa namba moja dunian kama angeendelea kucheza as a son of lionel messi pale Catalunya, alihitaj kuwa nje ya messi kuimarisha empire yake na ukubwa wake.
Theory hii pia ilitaka kumkimbiza kyrie irving wa Cleveland Cavaliers, anahtaj kuwa mkubwa zaid bt haitawezekana kama ataendelea kucheza as a son of lebron james. Theory hii ndio wachambuzi wa kikapu pale NBA walimueleza Paul George aliyetoka Pacers kwenda Oklahoma kuwa hautakuwa mkubwa tena kama unaenda kucheza as a son of Russell Westbrook, vivyo hvyo kwa zitto kabwe aliona hataweza kuwa the great kama ataendelea kuwa chin ya mbowe na akaamua kutaka kugombea uenyekit na alipogonga mwamba akaamua kujitoa. rich mavoko hautakuwa mkubwa zaid ya hapo ulipo kama utaendelea kuwa a son of diamond platnumz, utaendelea tu kuprevail na hautapotea but hutakuwa zaid tena.
Wanamuziki wote wanaoshine under the umbrella of somebody huwa hawakui. Rejea Mayokhoun wa Davido, still hajulikan, rejea Bred wa Davido pia hayuko on air kivile. Yuko wapi Correde Bello a son of Don Jazz? Hata Tekno kama sio kustukia kujitoa kwa Davido asingekuwa star mkubwa Afrika.
Fally na wengineo walijitoa chini ya kaka zao ndio wakajulikana zaid Afrika. Miaka 7 au 8 iliyopita ulikuwa ukichukuliwa kama mtu pekee tanzania uliyekuwa ukishindanishwa na diamond. But now unasimamishwa level za baraka, rayvan na neddy. Walichofanya diamond na joh makin ni akili kubwa mno. walihofia majina kudondoka baadae, na wakaamua kujenga empire ili kila memba wa empire lolote atakakofanya au popote atakapokwenda atakuwa anamuwakilisha yeye, ndio maana rich mavoko lolote afanyalo na popote aendapo tunaliona jina la diamond platnumz likipepea na si jina la rich mavoko.
NI MAWAZO NA MATAZAMO WANGU..
NINI MAWAZO NA MTAZAMO WAKO? (Free Discussion)
Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi wachache sana walioandika hili na hata inaelezwa ndio kitu halisi alichomuambia rafiki yake Gabriel Jesus.
Asingeweza kuwa mkubwa namba moja dunian kama angeendelea kucheza as a son of lionel messi pale Catalunya, alihitaj kuwa nje ya messi kuimarisha empire yake na ukubwa wake.
Theory hii pia ilitaka kumkimbiza kyrie irving wa Cleveland Cavaliers, anahtaj kuwa mkubwa zaid bt haitawezekana kama ataendelea kucheza as a son of lebron james. Theory hii ndio wachambuzi wa kikapu pale NBA walimueleza Paul George aliyetoka Pacers kwenda Oklahoma kuwa hautakuwa mkubwa tena kama unaenda kucheza as a son of Russell Westbrook, vivyo hvyo kwa zitto kabwe aliona hataweza kuwa the great kama ataendelea kuwa chin ya mbowe na akaamua kutaka kugombea uenyekit na alipogonga mwamba akaamua kujitoa. rich mavoko hautakuwa mkubwa zaid ya hapo ulipo kama utaendelea kuwa a son of diamond platnumz, utaendelea tu kuprevail na hautapotea but hutakuwa zaid tena.
Wanamuziki wote wanaoshine under the umbrella of somebody huwa hawakui. Rejea Mayokhoun wa Davido, still hajulikan, rejea Bred wa Davido pia hayuko on air kivile. Yuko wapi Correde Bello a son of Don Jazz? Hata Tekno kama sio kustukia kujitoa kwa Davido asingekuwa star mkubwa Afrika.
Fally na wengineo walijitoa chini ya kaka zao ndio wakajulikana zaid Afrika. Miaka 7 au 8 iliyopita ulikuwa ukichukuliwa kama mtu pekee tanzania uliyekuwa ukishindanishwa na diamond. But now unasimamishwa level za baraka, rayvan na neddy. Walichofanya diamond na joh makin ni akili kubwa mno. walihofia majina kudondoka baadae, na wakaamua kujenga empire ili kila memba wa empire lolote atakakofanya au popote atakapokwenda atakuwa anamuwakilisha yeye, ndio maana rich mavoko lolote afanyalo na popote aendapo tunaliona jina la diamond platnumz likipepea na si jina la rich mavoko.
NI MAWAZO NA MATAZAMO WANGU..
NINI MAWAZO NA MTAZAMO WAKO? (Free Discussion)
Sasa wewe mavoko atamzidije mond bila msing apate msingi ndo akajitegemee huko wasanii tunawaona wanajitegemea af wanambwelaNilichosema 'Ni kweli atafika mbali lakini hatoweza kumzidi Mond sababu kila anachofanya kina peperusha bendera ya Mond na sio yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha rayvanny na mavoko katika industryFungua kituo cha ushauri nasaha kwa wasanii utapata hela.
Anakujaza tu mkuu usipoteze muda wako na pesa bure. In short umeongea vitu vya kawaida sana ambavyo hata bwakila angeweza kuongea
Umeongea kweli tupu nduguHiyo ndo point mkuu, nimekuwa nikimfatilia dogo since then, mpaka anakuja kuamua kujiunga na WCB alikuwa flop tayari.
But now he is back in our thoughts, he is competing again, he is making money while doing what he loves more.