Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko

Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko

Mbn alikuwa peke ake na alishaanza kupotea,sasa hv yuko on chart again.
Mwache ajijenge vzr zaidi itakapobidi kuondoka ataondoka kwa amani.
Ila kusema hapo hang'ari wala kupata mafanikio kama angekuwa peke ake unakosea sbb alikuwa hvo na alikuwa chini kbsa.

Philips X2560
 
Binafsi sikubaliani na mtoa Mada!

Kwanza WCB ni Record label, sio kundi la Muziki au Band ya Muziki, hivyo kuna utofauti mkubwa kati ya WCB na Weusi, ama Band za Ki Congo...

Msanii kukua kwenye Muziki kunategemea na vitu Vingi, Management nzuri, ambayo ni Wazo Rich Mavoko anayo, Kipaji-anacho, Nidhamu-anayo n.k..

Leo hii Rich Mavoko anajulikana East Africa yote hii, Kama Bongo fleva sasa inasikika Africa yote kwa sababu Diamond, na Diamond kokote akienda Africa ana represent Record Lebal yake, kwanza kuna faida kubwa kwa Rich Mavoko kuwa WCB, pili hata akiwa anafanya Promotion ya ngoma zake, hatatumia nguvu nyingi...

So nadhani ni taratibu zao tu WCB kuwa nani anatoka sasa, kwa level ipi, nani atafata n.k....ila wakati wa Rich Mavoko kuifikia Africa utafika, na sio kwamba umeshindwa kufika kwa sababu yupo chini ya Diamond...

Leo unamuona Ray vanny wa kawaida lakini tuzo aliochukua BET majuzi imemfanya atambulike Africa yote, na yeye kila akienda utasikia Asante kwa WCB, iwe Nigeria, South Africa, East Africa na nchi nyingine kote wanajua Leo kuna WCB Lebal Tanzania, mpaka Wasanii toka Nigeria wanaomba kuwa chini ya WCB....

Muziki ni hatua kwa hatua, naamini Rich Mavoko atatoboa Africa coz yupo sehemu sahihi.
 
Umeongea kweli ngoja tuone kama atajiongeza kama lil Wayne au atabweteka kwa kuridhika na hiko kidogo
 
Mavoko ndio hakuna kitu tena pale....Wakati ule aliposhauriwa aliwaona watu kama wanambania.

Leo hii kakubali kubadili style yake na mziki wake umekuwa mbovu badala ya kuwa bora.
 
Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi wachache sana walioandika hili na hata inaelezwa ndio kitu halisi alichomuambia rafiki yake Gabriel Jesus.

Asingeweza kuwa mkubwa namba moja dunian kama angeendelea kucheza as a son of lionel messi pale Catalunya, alihitaj kuwa nje ya messi kuimarisha empire yake na ukubwa wake.

Theory hii pia ilitaka kumkimbiza kyrie irving wa Cleveland Cavaliers, anahtaj kuwa mkubwa zaid bt haitawezekana kama ataendelea kucheza as a son of lebron james. Theory hii ndio wachambuzi wa kikapu pale NBA walimueleza Paul George aliyetoka Pacers kwenda Oklahoma kuwa hautakuwa mkubwa tena kama unaenda kucheza as a son of Russell Westbrook, vivyo hvyo kwa zitto kabwe aliona hataweza kuwa the great kama ataendelea kuwa chin ya mbowe na akaamua kutaka kugombea uenyekit na alipogonga mwamba akaamua kujitoa. rich mavoko hautakuwa mkubwa zaid ya hapo ulipo kama utaendelea kuwa a son of diamond platnumz, utaendelea tu kuprevail na hautapotea but hutakuwa zaid tena.

Wanamuziki wote wanaoshine under the umbrella of somebody huwa hawakui. Rejea Mayokhoun wa Davido, still hajulikan, rejea Bred wa Davido pia hayuko on air kivile. Yuko wapi Correde Bello a son of Don Jazz? Hata Tekno kama sio kustukia kujitoa kwa Davido asingekuwa star mkubwa Afrika.

Fally na wengineo walijitoa chini ya kaka zao ndio wakajulikana zaid Afrika. Miaka 7 au 8 iliyopita ulikuwa ukichukuliwa kama mtu pekee tanzania uliyekuwa ukishindanishwa na diamond. But now unasimamishwa level za baraka, rayvan na neddy. Walichofanya diamond na joh makin ni akili kubwa mno. walihofia majina kudondoka baadae, na wakaamua kujenga empire ili kila memba wa empire lolote atakakofanya au popote atakapokwenda atakuwa anamuwakilisha yeye, ndio maana rich mavoko lolote afanyalo na popote aendapo tunaliona jina la diamond platnumz likipepea na si jina la rich mavoko.

NI MAWAZO NA MATAZAMO WANGU..
NINI MAWAZO NA MTAZAMO WAKO? (Free Discussion)
This notion isn't always accurate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko sahihi, I can write 4 million words to support you

watakaokuelewa hapa lazima wawe na miakili kama yako na yangu na mwingine aliyeelewa

usishangae wasipokuelewa pia, wale watu wapo
 
Ana contract tayari hawezi chomoka kirahisi

akivunja mkataba tu ...jamaa watachukua

hadi ndara ...but ushauri wako ni mzuri

siku zote huyu jamaa atakuwa ni underdog tu

Mtoto wa flani!
 
Mtoa mada una akili sana kwamba kuwa chini ya mtu Fulani ni wazi kwamba huwez kujua zaidi ya àliye juu yako.

Ila sasa labda tuangalie wcb waliingia mkataba Gani na yy? Labda yy ni mmoja wa share holder. Mimi nadhan Kila àliye chini ya wcb ni mmoja wa share holders na hivyo wao wanachangia pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo point mkuu, nimekuwa nikimfatilia dogo since then, mpaka anakuja kuamua kujiunga na WCB alikuwa flop tayari.

But now he is back in our thoughts, he is competing again, he is making money while doing what he loves more.
Umeongea kweli tupu ndugu

Japo sijaelewa mana lugha ni tatizo
 
Uyasemayo mkuu ni kweli kabisaaaa....Mavoko ni mzuri shinda Diamond na kimuziki anamuacha domo mbali mnooooo ila bahatii mbaya yake tu ni kule kuwa chini ya lebo ya domo.
 
Mavoko kwa sasa kila nyimbo anayotoa lazima ataje masikara sijui yamemfanya nini?
 
Hata ommy dimpoz nae, akitaka kuwa mkubwa atoke rockstar.
 
Back
Top Bottom