Mawazo yangu na mipango mingi ya maisha inatokea nikiwa chooni/ bafuni

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Ni tabia ambayo sijui imeanza vipi na sijui nimeizoea vipi na kama ni jambo la kawaida kwa wengi au la, ila nimejikuta nikiingia kuoga natumia muda mwingi kuwaza mambo mengi kuliko muda wa kuoga wenyewe
 
Ongera chooo chako kisafi sana! Ila upande wa pili chooni na bafuni ni mahali yanakopendelea kukaa maroho wachafu!
 
Ni tabia ambayo sijui imeanza vipi na sijui nimeizoea vipi na kama ni jambo la kawaida kwa wengi au la, ila nimejikuta nikiingia kuoga natumia muda mwingi kuwaza mambo mengi kuliko muda wa kuoga wenyewe
Siyo chooni au bafuni ila ni maji unayoogea.Maji ni dawa kubwa sana mkuu,ndiyo maana mara baada ya kujimwagia maji unapata fikra nzuri mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tajiri wa dunia angekuwa na mawazo kama yako, cjui angekuwa wapi leo
 
Duu hii kitu hata mimi huwa nafanya!!

"And the best that you can hope for
Is to die in your sleep."(Others ar usless)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…