Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo chooni au bafuni ila ni maji unayoogea.Maji ni dawa kubwa sana mkuu,ndiyo maana mara baada ya kujimwagia maji unapata fikra nzuri mno.Ni tabia ambayo sijui imeanza vipi na sijui nimeizoea vipi na kama ni jambo la kawaida kwa wengi au la, ila nimejikuta nikiingia kuoga natumia muda mwingi kuwaza mambo mengi kuliko muda wa kuoga wenyewe