Mawazo yenu kwenye hili yanahitajika

Mawazo yenu kwenye hili yanahitajika

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Habari wakuu, wapendwa.

Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.

Msada wa mawazo, ushauri, mtazmo, uelewa, kweny ILO unahitajika Karbuni
 
Habari wakuu,wapendwa. Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini,Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa. Msada wa mawazo,ushauri,mtazmo,uelewa, kweny ILO unahitajika karbuni
Ndio ni njia nzuri sana lakini inategemea kama nyote ni waumini watiifu wa dini yenu
 
Huyo unaetaka kumuoa bila kufanya bargaining nae tayari ana mtu wake yupo moyoni. Jichanganye upigwe na kitu kizito

NB naona umeshindwa kabisa kutongoza
 
Kwank domo limejaa mbigiri au zege?

Habari wakuu, wapendwa.

Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.

Msada wa mawazo, ushauri, mtazmo, uelewa, kweny ILO unahitajika Karbuni
 
Huyo unaetaka kumuoa bila kufanya bargaining nae tayari ana mtu wake yupo moyoni. Jichanganye upigwe na kitu kizito

NB naona umeshindwa kabisa kutongoza
Thanks for ur opinion
 
Zama hizi jitahidi kuoa au kuolewa na mtu unaemfahamu kitabia na kimgegedo
 
Habari wakuu, wapendwa.

Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.

Msada wa mawazo, ushauri, mtazmo, uelewa, kweny ILO unahitajika Karbuni
Usioe binti kufuata sheria za dini za kuletewa, utapotoka tu.......kama kuna binti umjuaye ni vema mkajuana na kuzoeana kwanza kabla ya kuamua kuoana.
 
Dini haijasema usiongee nae, Bali ongea nae akiwa na ndugu yake sio mkiwa nyie wawili tu. Maana hata ukienda kwao kupeleka posa bila kumwambia lazima aitwe aulizwe anakufahamu, amekubali au laa. Hakuna ndoa inayofungwa bila Binti kuulizwa na kukubali.

Kwahy ni wewe uchague umwambie kabla ya kupeleka posa au aambiwe baada ya wewe kupeleka posa.
 
Asante kiongoz
 
Back
Top Bottom