Ndio ni njia nzuri sana lakini inategemea kama nyote ni waumini watiifu wa dini yenuHabari wakuu,wapendwa. Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini,Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa. Msada wa mawazo,ushauri,mtazmo,uelewa, kweny ILO unahitajika karbuni
Habari wakuu, wapendwa.
Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.
Msada wa mawazo, ushauri, mtazmo, uelewa, kweny ILO unahitajika Karbuni
Usioe binti kufuata sheria za dini za kuletewa, utapotoka tu.......kama kuna binti umjuaye ni vema mkajuana na kuzoeana kwanza kabla ya kuamua kuoana.Habari wakuu, wapendwa.
Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.
Msada wa mawazo, ushauri, mtazmo, uelewa, kweny ILO unahitajika Karbuni
Asante kiongozDini haijasema usiongee nae, Bali ongea nae akiwa na ndugu yake sio mkiwa nyie wawili tu. Maana hata ukienda kwao kupeleka posa bila kumwambia lazima aitwe aulizwe anakufahamu, amekubali au laa. Hakuna ndoa inayofungwa bila Binti kuulizwa na kukubali.
Kwahy ni wewe uchague umwambie kabla ya kupeleka posa au aambiwe baada ya wewe kupeleka posa.