Naomba mnisaidie kuandika ushauri wenu juu ya hili.
Mm naishi mkoa X nina nyumba ambayo nimepangisha wapangaji na kupata pango la laki 5 kwa mwezi.
Sasa kuna eneo la shamba ekari nne eneo tambarare na karibu na barabara kuu linauzwa nami naona ni zuri na litanifaa kwenye miradi wangu siku za mbeleni nitakapopata pesa.
Ushauri wenu ni kwamba je niuze nyumba ya wapangaji ninunue shamba ekari 4 ambayo haina mazao?
Achana na shamba ww endelea na kuvuta pesa mkuu
Shamba ukishanunua hiyo pesa ulikuwa unaingiza kila mwizi kwishney.
Ukilima ndo kama ujuavyo patapoteaa.
Pembezoni mwa barabara kuna mambo mengi,jiandae pia