Mawe katika mfuko wa nyongo ya ng'ombe: Nini thamani/matumizi yake?

Mawe katika mfuko wa nyongo ya ng'ombe: Nini thamani/matumizi yake?

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Wadau, hii kitu inaonekana kuwa na thamani sana kwani bei yake imekuwa ikipanda bei kila siku na kwasasa thamani yake sokoni inazizdi bei ya dhahabu. Kwasasa, kwa Dar es Salaam gram moja inauzwa TZS 130,000 wakati dhahabu ni Tzs 90,000.

Naomba kujuzwa matumizi yake kwa kuwa wanaooonekana kuinunua zaaidi ni watu wa asili ya China. Ni vema tukafanya utafiti na kujua matumizi yake. Baadhi ya literature mitandaoni zinasema hivi kuhusu umuhimu wake

BRIEF HISTORY ABOUT COW / OX GALLSTONES FOR SALE AND THEIR USES
  • In late marriage and marital disputes, it is very effective.
  • It is believed that Gorochan, if kept at home attracts many good things, such as: Wealth and riches Abundance and prosperity will follow you wherever you will go. Fame and glory becomes an important part of your life.
  • Gorochan is used in many purposes to help the mankind. It is very powerful in Vashikaran.
GOAL STONES PHOTO.jpg
 
Inawezekana kilichoandikwa ni kweli mimi nanunua na huwa namtumia jamaa yangu yupo China ingawa hajawahi kufunguka direct matumizi yake lakini once kuna daktari wa mifugo aliwahi kuniambia kitu kuwa gallstones zinapatikana kwa ng'ombe wa mabondeni wanaokunywa maji yanayotiririka kutoka milimani na maji hayo huwa na mkusanyiko wa madini na hivyo gallstones zina madini yanayoendana na dhahabu na wachina wao ndio huwa wanajua wanayachakata vipi kupata wanachokitaka.
 
Nina mteja cash china mwenye Nazo ata kilo moja naomba kunitafuta wadau
 
Back
Top Bottom