Kuna taarifa inasambaa kwamba chanzo ni kutokunywa maji kwa wingi angalau lita 3 kwa siku ili kusafisha sumu za mwilini kwa njia ya mkojo,sasa kutokunywa maji kunasababisha mlundikano wa sumu hatimaye zinaganda na kuwa kama mawe mwili sababu ya joto la mwili