mawe kwenye figo, chanzo na tiba yake.

mawe kwenye figo, chanzo na tiba yake.

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,985
wajuzi wa mambo nijuzeni.
nini chanzo na tiba za huu ugonjwa.nina ndugu yangu jana alikutwa na hili tatizo.
nawasilisha
 
Kuna taarifa inasambaa kwamba chanzo ni kutokunywa maji kwa wingi angalau lita 3 kwa siku ili kusafisha sumu za mwilini kwa njia ya mkojo,sasa kutokunywa maji kunasababisha mlundikano wa sumu hatimaye zinaganda na kuwa kama mawe mwili sababu ya joto la mwili
 
Back
Top Bottom