Mawe kwenye figo

Mawe kwenye figo

Mizega

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
150
Reaction score
321
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2 zilizopita, daktari aliyenihudumia alipata dharula akaondoka na hivyo bado sijapata matibabu nikimngoja Tarehe 10.
Naombeni ushauri wenu, niko na hofu sana, najua kuna waliopitia hali hii na wapo madaktari hapa pia.
 
Kunywa maji mengi sna kiasi kwamba hata ukimuweka chura tumboni anaweza kuishi. Mimi niliwahi kuwa na tatizo kama hilo ila nilipona kwa dozi ya vidonge vya mwezi 1 na unywaji wa maji mengi hadi vyura wakawa wakiniona wananishangalia njiani.
 
Kunywa maji mengi Kwa siku isiwe chini ya lita 4 kwenda juu hii kitu inatisha
IMG_153758_5524.jpeg
 
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2 zilizopita, daktari aliyenihudumia alipata dharula akaondoka na hivyo bado sijapata matibabu nikimngoja Tarehe 10.
Naombeni ushauri wenu, niko na hofu sana, najua kuna waliopitia hali hii na wapo madaktari hapa pia.
Mkuu pole kwa hayo mawe kwenye figo nitafute mimi nikupe dawa ya kutumia siku 7 mawe yote kwenye figo yataondoka zake uguwa pole.
 
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2 zilizopita, daktari aliyenihudumia alipata dharula akaondoka na hivyo bado sijapata matibabu nikimngoja Tarehe 10.
Naombeni ushauri wenu, niko na hofu sana, najua kuna waliopitia hali hii na wapo madaktari hapa pia.
At least umekutwa na mawe matatu, ndugu yangu alikutwa na idadi kibao ya mawe kwenye nyongo. Alikuwa ameshaanza na kuoza kabisa, ikabidi nyongo itolewe ili kunusuru maisha yake. Now anaendelea vizuri.

So take it easy, Kila kitu kitakuwa sawa mkuu
1000062077.jpg
 
View attachment 2982686
Hayo mawe yanatokeaue humo?
Kwahiyo huyo ndugu yetu hana hasira sasa hivi? Hata uchungu hasikii?
 
DR Mambo Jambo eb sema neno mkuu...
Habari!
Dhana ya Mawe kwenye Figo (Kidney Stone "nephrolithiasis" au "Renal calculi") Kwa lugha nyepesi kuielezea Huwa ni mtihani kidogo ila nitajitahidi kuielezea..

Nitaanza na hatua kwa hatua za Upatikanaji wa Mkojo nafikiri wengi tunazifahamu mpaka kufikia Kupatikana kwa Mawe..

Ilinkupatikane Mkojo Unaokojoa Lazima Figo ichuje Damu kupitia kwa Mishipa midogo iitwayo Capillaries...

Sasa Matukio hayo hutokea kwa Process zifuatazo
  1. Fitration Process (Uchujwaji)..Kazi ya figo ni kuchuja damu ili kuondoa taka na vitu vya ziada. Hii hufanyika kwenye glomeruli (Chujio lililopo kwenye Figo)Sasa hapa small Molecules kama maji, elektrolaiti (Chumvi za ziada), na taka kama Urea hutolewa kutoka kwenye Damu Kuingizwa kwenye Renal tubule (Mirija ya Figo) kwa ajili ya kupelekwa kwenye Mkojo.....
  2. Reabsorption and Secretion (Kurejesha na Kutoa): Baada ya kuchujwa sasa, maji (filtrate) hupita kwenye mirija ya figo na humo vitu muhimu kama Glucose, Amino acid, na Electrolyte hurudishwa tena kwenye mzunguko wa damu. Wakati huo huo, taka zaidi na vitu vya ziada hutolewa kwenye mirija ili kutolewa kwenye mkojo.
  3. Concentration :Kadri filtrate (Vilivyochujwa kama maji) moves through the tubules, inaongezeka concentration through the reabsorption of water na kumbuka hapo kuna secretion of solutes, Ili Kuondoa Chumvi Urea na Excess Mineral..hii Concentration process ni Muhimu sana ili kumaintain water and electrolyte balance in the body, Yaani Usije ikatikea ukakojoa maji yote mwilini..

Shida inaanza kwenye Kama Solvents Itakuwa Chache kuliko Solute yaani Mineral itakuwa nying..

Mfano unasonga Ugali ukajikuta unazudisha Unga kuliko Maji hapo ndo tunapata kitu kinaitwa Supersaturation na Hiyo ndo tatizo kubwa sanaa linapoanzia...

4. Supersaturation: Mara nyingi huwa inatokea kwenye condition kama vile ukosefu wa maji mwilini(Dehydration) au tabia ya kutumia lishe kwa Vyakula fulanj kwa muda mrefu,ambayo vinaleta concentration of substances kama calcium, oxalate, na uric acid kwenye Renal tubular fluid can exceed their solubility limits, leading to supersaturation. When the concentration of these substances surpasses their solubility, crystals can form within the tubules.

Sasa hapa ndo utasikia Mtu anakuambia nakojoa mkojo mzito sana na Unakuwa wa Njano sana au Brown kabisa..

Mara nyingine tunakuwa tunawashauri kunywa maji mengi na kuuliza kuhusu vyakula wanavyokula

  • Nucleation: sasa hii supersaturation ikishafikiwa tiny crystals ya hizo particles kama Oxalate,Calcium na substances zingine zitaform kwenye mkojo. Hiyo process ya Kuform particle baada ya Supersaturation ndo huitwa nucleation. Hizi crystals (Viparticlesz vigumu) zinaweza kuwa microscopic na mara nyingu mwanzoni hakuonyeshi dalili yoyote..
  • Sasa by the time unazidi kuongeza zile causative factors Crystal nazo zinaanza kukua Over time, these tiny crystals can grow larger and larger especially kama conditions in the urinary tract favor their growth. Factors such as pH levels, urinary stasis (when urine remains in the urinary tract for extended periods)..
Na Baadae zikishakua sana sana Ndo zinaziba baadhi ya Mirija na Process hivyo kusababisha Inflamation na mirija ikiziba lazna usikie maumivu..

Wataingezea Machief wengine nilipoacha..
Dr Restart
 
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo.
Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2 zilizopita, daktari aliyenihudumia alipata dharula akaondoka na hivyo bado sijapata matibabu nikimngoja Tarehe 10.
Naombeni ushauri wenu, niko na hofu sana, najua kuna waliopitia hali hii na wapo madaktari hapa pia.
DR Mambo Jambo
 
Habari!
Dhana ya Mawe kwenye Figo (Kidney Stone "nephrolithiasis" au "Renal calculi") Kwa lugha nyepesi kuielezea Huwa ni mtihani kidogo ila nitajitahidi kuielezea..

Nitaanza na hatua kwa hatua za Upatikanaji wa Mkojo nafikiri wengi tunazifahamu mpaka kufikia Kupatikana kwa Mawe..

Ilinkupatikane Mkojo Unaokojoa Lazima Figo ichuje Damu kupitia kwa Mishipa midogo iitwayo Capillaries...

Sasa Matukio hayo hutokea kwa Process zifuatazo
  1. Fitration Process (Uchujwaji)..Kazi ya figo ni kuchuja damu ili kuondoa taka na vitu vya ziada. Hii hufanyika kwenye glomeruli (Chujio lililopo kwenye Figo)Sasa hapa small Molecules kama maji, elektrolaiti (Chumvi za ziada), na taka kama Urea hutolewa kutoka kwenye Damu Kuingizwa kwenye Renal tubule (Mirija ya Figo) kwa ajili ya kupelekwa kwenye Mkojo.....
  2. Reabsorption and Secretion (Kurejesha na Kutoa): Baada ya kuchujwa sasa, maji (filtrate) hupita kwenye mirija ya figo na humo vitu muhimu kama Glucose, Amino acid, na Electrolyte hurudishwa tena kwenye mzunguko wa damu. Wakati huo huo, taka zaidi na vitu vya ziada hutolewa kwenye mirija ili kutolewa kwenye mkojo.
  3. Concentration :Kadri filtrate (Vilivyochujwa kama maji) moves through the tubules, inaongezeka concentration through the reabsorption of water na kumbuka hapo kuna secretion of solutes, Ili Kuondoa Chumvi Urea na Excess Mineral..hii Concentration process ni Muhimu sana ili kumaintain water and electrolyte balance in the body, Yaani Usije ikatikea ukakojoa maji yote mwilini..

Shida inaanza kwenye Kama Solvents Itakuwa Chache kuliko Solute yaani Mineral itakuwa nying..

Mfano unasonga Ugali ukajikuta unazudisha Unga kuliko Maji hapo ndo tunapata kitu kinaitwa Supersaturation na Hiyo ndo tatizo kubwa sanaa linapoanzia...

4. Supersaturation: Mara nyingi huwa inatokea kwenye condition kama vile ukosefu wa maji mwilini(Dehydration) au tabia ya kutumia lishe kwa Vyakula fulanj kwa muda mrefu,ambayo vinaleta concentration of substances kama calcium, oxalate, na uric acid kwenye Renal tubular fluid can exceed their solubility limits, leading to supersaturation. When the concentration of these substances surpasses their solubility, crystals can form within the tubules.

Sasa hapa ndo utasikia Mtu anakuambia nakojoa mkojo mzito sana na Unakuwa wa Njano sana au Brown kabisa..

Mara nyingine tunakuwa tunawashauri kunywa maji mengi na kuuliza kuhusu vyakula wanavyokula

  • Nucleation: sasa hii supersaturation ikishafikiwa tiny crystals ya hizo particles kama Oxalate,Calcium na substances zingine zitaform kwenye mkojo. Hiyo process ya Kuform particle baada ya Supersaturation ndo huitwa nucleation. Hizi crystals (Viparticlesz vigumu) zinaweza kuwa microscopic na mara nyingu mwanzoni hakuonyeshi dalili yoyote..
  • Sasa by the time unazidi kuongeza zile causative factors Crystal nazo zinaanza kukua Over time, these tiny crystals can grow larger and larger especially kama conditions in the urinary tract favor their growth. Factors such as pH levels, urinary stasis (when urine remains in the urinary tract for extended periods)..
Na Baadae zikishakua sana sana Ndo zinaziba baadhi ya Mirija na Process hivyo kusababisha Inflamation na mirija ikiziba lazna usikie maumivu..

Wataingezea Machief wengine nilipoacha..
Dr Restart
Hahahhaa!. Mkuu, umeenda too deep kwa layman. Ni kama unapiga pindi kabisa.

Nina uhakika hatakuelewa, yeye anachotaka ni Ushauri na kumuondoa hofu.

Kwanza, tumpongeze kwa hatua ya mwanzo kabisa ya kufika katika kituo cha afya na kupata huduma pamoja na vipimo. Na baadae kupata uvumbuzi wa tatizo linalomsibu.

Hata hivyo, nimeshindwa kuelewa ni kwa namna gani alipimwa na kuambiwa kinachomsumbua ni mawe kwenye figo, kisha aliyemhudumia akashindwa kumshauri na kumpa dawa.
Anyway, tuseme alimconsult na kumuelekeza akapige x-ray ama CT scan kisha akapata dharura na kuondoka kabla ya majibu hayajatoka.

Pili, usiwe na hofu Mkuu. Kidney stones zinapona na kuisha kabisa kwa njia kadha wa kadha. Hivyo huna haja ya kuogopa na kujitoa hofu isiyo na maana. Cha muhimu ni kuzingatia tiba na ushauri wa kitaalam.

Tatu, matibabu ya kidney stones hutegemea sana ukubwa, aina na pengine idadi ya mawe husika.
a)Kama mawe ni madogo (chini ya mm 5), mgonjwa unashauriwa kunywa maji mengi kila siku, ili kusaidia kuflash mawe hayo.

b)Kama ni mawe ya wastani (mm 6 mpaka mm 10) basi pamoja na unywaji wa maji mengi anaweza kutumia Citalka ama Nifedine, hizo humsaidia kuyeyusha kwa kiasi mawe hayo na pia kupunguza maumivu.

c)Kama stones ni kubwa (mm 11 na kuendelea) basi tambua hayawezi kutoka yenyewe na hivyo kuhitaji usaidizi wa wataalam katika kuyavunja vunja kwa njia ya ESWL, ureteroscopy na upasuaji.

Hivyo, ni muhimu sana kujua ukubwa wa mawe husika kabla ya kuanza matibabu. Mtaalam wako atakuelekeza yote.

Tatu, tambua mlo wako na ikiwezekana badilisha. Mkuu DR Mambo Jambo ameeleza vema hapo huu, kwenye kipengele cha supersaturation (rejea kipengele namba 4 hapo juu). Punguza matumizi makubwa ya chumvi pamoja na proteins haswa zitokanazo kwa wanyama (nyama, mayai, nk).

Jijengee tabia ya kunywa maji mengi kila siku. Fanya mazoezi na kama una uzito mkubwa, tafadhali pungua Mkuu.

Nne, itakubidi ufanye follow up juu ya maendeleo ya afya yako, haswa juu ya tatizo linalokusibu. Kwa maelekezo ya Mtaalam wako, itakubidi urudi mara kadhaa kufanya check up kuona maendeleo ya mawe yako. Kama yanatoka ama la! Na hatua za kuchukua baada.

Nakutakia uponyaji mwema.

ephen_
 
Mkuu asante kwa maelezo
 
Habari!
Dhana ya Mawe kwenye Figo (Kidney Stone "nephrolithiasis" au "Renal calculi") Kwa lugha nyepesi kuielezea Huwa ni mtihani kidogo ila nitajitahidi kuielezea..

Nitaanza na hatua kwa hatua za Upatikanaji wa Mkojo nafikiri wengi tunazifahamu mpaka kufikia Kupatikana kwa Mawe..

Ilinkupatikane Mkojo Unaokojoa Lazima Figo ichuje Damu kupitia kwa Mishipa midogo iitwayo Capillaries...

Sasa Matukio hayo hutokea kwa Process zifuatazo
  1. Fitration Process (Uchujwaji)..Kazi ya figo ni kuchuja damu ili kuondoa taka na vitu vya ziada. Hii hufanyika kwenye glomeruli (Chujio lililopo kwenye Figo)Sasa hapa small Molecules kama maji, elektrolaiti (Chumvi za ziada), na taka kama Urea hutolewa kutoka kwenye Damu Kuingizwa kwenye Renal tubule (Mirija ya Figo) kwa ajili ya kupelekwa kwenye Mkojo.....
  2. Reabsorption and Secretion (Kurejesha na Kutoa): Baada ya kuchujwa sasa, maji (filtrate) hupita kwenye mirija ya figo na humo vitu muhimu kama Glucose, Amino acid, na Electrolyte hurudishwa tena kwenye mzunguko wa damu. Wakati huo huo, taka zaidi na vitu vya ziada hutolewa kwenye mirija ili kutolewa kwenye mkojo.
  3. Concentration :Kadri filtrate (Vilivyochujwa kama maji) moves through the tubules, inaongezeka concentration through the reabsorption of water na kumbuka hapo kuna secretion of solutes, Ili Kuondoa Chumvi Urea na Excess Mineral..hii Concentration process ni Muhimu sana ili kumaintain water and electrolyte balance in the body, Yaani Usije ikatikea ukakojoa maji yote mwilini..

Shida inaanza kwenye Kama Solvents Itakuwa Chache kuliko Solute yaani Mineral itakuwa nying..

Mfano unasonga Ugali ukajikuta unazudisha Unga kuliko Maji hapo ndo tunapata kitu kinaitwa Supersaturation na Hiyo ndo tatizo kubwa sanaa linapoanzia...

4. Supersaturation: Mara nyingi huwa inatokea kwenye condition kama vile ukosefu wa maji mwilini(Dehydration) au tabia ya kutumia lishe kwa Vyakula fulanj kwa muda mrefu,ambayo vinaleta concentration of substances kama calcium, oxalate, na uric acid kwenye Renal tubular fluid can exceed their solubility limits, leading to supersaturation. When the concentration of these substances surpasses their solubility, crystals can form within the tubules.

Sasa hapa ndo utasikia Mtu anakuambia nakojoa mkojo mzito sana na Unakuwa wa Njano sana au Brown kabisa..

Mara nyingine tunakuwa tunawashauri kunywa maji mengi na kuuliza kuhusu vyakula wanavyokula

  • Nucleation: sasa hii supersaturation ikishafikiwa tiny crystals ya hizo particles kama Oxalate,Calcium na substances zingine zitaform kwenye mkojo. Hiyo process ya Kuform particle baada ya Supersaturation ndo huitwa nucleation. Hizi crystals (Viparticlesz vigumu) zinaweza kuwa microscopic na mara nyingu mwanzoni hakuonyeshi dalili yoyote..
  • Sasa by the time unazidi kuongeza zile causative factors Crystal nazo zinaanza kukua Over time, these tiny crystals can grow larger and larger especially kama conditions in the urinary tract favor their growth. Factors such as pH levels, urinary stasis (when urine remains in the urinary tract for extended periods)..
Na Baadae zikishakua sana sana Ndo zinaziba baadhi ya Mirija na Process hivyo kusababisha Inflamation na mirija ikiziba lazna usikie maumivu..

Wataingezea Machief wengine nilipoacha..
Dr Restart
Mkuu umechimba sana. Japokuwa umeweka kwa lugha rahisi yenye kueleweka.
Kudos Daktari
 
Back
Top Bottom