Mawifi inakuwaje? Kunakuwa na kutokuelewana na mke wa kaka yao

Dj lete mawifiiiii
Mawifi tunaomba ule wimbo wa mtaachana tu🀣.

Mimi Kwa wake wa Kaka zangu Yani sina habari, tena wakileta Stori za kuachana naawaambia wakomae tu na ndoa zao....najua wakiachana watanisumbua na watoto as am the only aunt.πŸ˜‚

Dada wa mume wangu sasa, vichomi, Wana midomo, Tulikuwa tunaishi mbali, sasa tumesogea mkoa walipo nasubiri movie ianze!
 
Ngendembwe huwa zinazidi hapo kwenye kukaa karibu/ pamoja....mtagombana tuuu
 
Duh we ulijuaje?[emoji848]
 
Hahaha jiandae[emoji38]
 
Binafsi natamani ningepata mume kama baba yangu, he is my role model kwenye suala la ndoa.
 
Umeandika kwa kuegemea upande mmoja. Umesahau kuna waolewaji huwa wakorofi pia
 
Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
Tabu inaanzia pale ambapo hao mawifi hawapati "mahaba" kama ambayo wifi yao anayapata kwa kaka yao. Wao unakuta kwenye ndoa zao kuna kashkashi za kutosha halafu wakicheck huku wifi yao ananona kwa tabasamu la raha. Hapo kutakuwa na kupendana kweli?.
 
Kwanza kabisa inategeneaga na mguu anaokuja nao kwenye mji wetu huyo wifi.
Mara nyingi wenye matatizo ni wale wanaooleea kwenye miji ya watu wakiingia kama kwenda kusambaratisha kilinge. Hawapendi ile ushirikiano na upendo kama ambavyo family imekua ikiishi. Halafu ubinafsi ni tatizo lingine. Yaan ubinafsi tu na si kingine. Unakuta mwingine ametoka familia ya kimadkini huko basi akiona mali nafsi inampwita balaa na hajui hata jasho limetokaje...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Dada wa wanaume wanasahau kuwa mwanaume akishaoa wao si kipaumbele tena, kipaumbele na jukumu lake ni kuhusu mkewe.
Wao inabaki kuwa msaada na msaada si lazima.
Msaada kwa dada sio lazima😲 acheni ujingi nyie ni wake sio ndugu. Tukifiriaikaga ndio mnakuwaga wa kwanza kutubwaga. Dada yangu ni lazima nimsaidie
 
Ngendembwe huwa zinazidi hapo kwenye kukaa karibu/ pamoja....mtagombana tuuu
Ndo nasubiri show...na hivi hamna referee Ma mkwe kashafariki manake ndio alikuwa mtetezi wangu, huwezi kunisema vibaya akuelewe...Mwenzenu nilikuwa najua kujipendekeza Kwa ma mkwe...Yani hazipiti siku Tatu nimempigia, mara nimtumie vocha, mara posho ya mazingira magumu, mara fao la kunizalia mume...nikamtekaaaaa, mawifi wakakituliza...
Sasa game linaenda kuanza 1-1🀣🀣🀣 halafu mawifi wazaramo.
 
Wacha weeh mama Pablo hutaki utani na mawifi njaa wakikuzingua unawazingua

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…