boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Wewe kila upande uko vizuri unaoneka umekamilika sana huna mapungufuNi heri ungeandika baadhi. Mimi na wifi yangu hatujawahi kuacha kuelewana, tuna mahusiano mazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kila upande uko vizuri unaoneka umekamilika sana huna mapungufuNi heri ungeandika baadhi. Mimi na wifi yangu hatujawahi kuacha kuelewana, tuna mahusiano mazuri
Ww kila upande uko vizuri unaoneka umekamilika sana huna mapungufu
🤣 tatizo ni wanawake, nikimaanisha na wewe kama una kaka na ameowa utaingia katika kundi au inakuwaje,nashindwa kuelewa nipo nipo tuSimtegemei chochote kila mtu na maisha yake. Changamoto ninayo pata ni mawifi dada wa mume wangu..hawa viumbe ni shida
Hapaaanah, Ni mtu na mkewe sasa madada inawahusu nini,mimi na mke wangu wao inakuwaje wanaleta ujumbe na wajumbe kutuhabarisha kama haitoshi wanamfuata mke wangu, ..toka kakuoa hata simu hapigi nyumbani .. halafu maneno yao yanaweza kumzalisha mwenye mimba.Umeandika kwa kuegemea upande mmoja. Umesahau kuna waolewaji huwa wakorofi pia
Inawezekana unapoint,Mke wa kaka anakuwa mbaya kivipi ? Hio kauli ndio inakuwa umeanza kulipuka unamjaza ubaya mke wa kaka ako.Mama Mkwe na Mawifi wanaweza kuwa watu wazuri lakini mke wa Kaka akawa mbaya hivyo inategemea.
Hongera ulikua na mtetezi, kuna familia unakuta mama moto, mawifi moto hadi unajihisi ndio ushafika ahera sasa😂😂😂 kumbe bado upo dunianiNdo nasubiri show...na hivi hamna referee Ma mkwe kashafariki manake ndio alikuwa mtetezi wangu, huwezi kunisema vibaya akuelewe...Mwenzenu nilikuwa najua kujipendekeza Kwa ma mkwe...Yani hazipiti siku Tatu nimempigia, mara nimtumie vocha, mara posho ya mazingira magumu, mara fao la kunizalia mume...nikamtekaaaaa, mawifi wakakituliza...
Sasa game linaenda kuanza 1-1🤣🤣🤣 halafu mawifi wazaramo.
Hayo mapenzi kwa Kaka yahamishie kwa mme uinjoi 😁Nisaidie kucheka na mie...kuna mawifi wangepata waume Kama Kaka zao wangekuwa washaumwa presha na Sukari...watushukuru watoto wa watu tunavumilia vichomi vyao, tunazaa kuongeza ukoo wao..
Keeping distance ni muhimu sanaUsimzoee wifi utakuja nishukuru[emoji848]
Kwani Mkwe na Mawifi wanakuwa wabaya kivipi?Inawezekana unapoint,Mke wa kaka anakuwa mbaya kivipi ? Hio kauli ndio inakuwa umeanza kulipuka unamjaza ubaya mke wa kaka ako.
Thank u. Ur sister is a deputy mother.. unamtengaje.. mke siyo ndugu. Na mume siyo nduguMsaada kwa dada sio lazima[emoji44] acheni ujingi nyie ni wake sio ndugu. Tukifiriaikaga ndio mnakuwaga wa kwanza kutubwaga. Dada yangu ni lazima nimsaidie
Ndugu yangu tu mwenyewe atakunyoosha. Hujui tumeishi vipi toka awali. Magumu mangapi tumebebana leo hii eti hutaki ukaribu na ndugu wa mume. Umeolewa ama umeoa?Wacha weeh mama Pablo hutaki utani na mawifi njaa wakikuzingua unawazingua
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
UnajielewaThank u. Ur sister is a deputy mother.. unamtengaje.. mke siyo ndugu. Na mume siyo ndugu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukishaelewa hiyo falsafa basi. Maana hakuna uadui mbaya kama wa mapenzi. Na tunayaona dailyUnajielewa
Waeleze wanadhani kutubwba kitandani ndio inatosha kufanya tuwasahau dada zetu...mbususu zipo nyingi tuu na ukikubali kuolewa kaa ukijua kua huo ni muunganiko wa familia mbili sio watu wawiliNdugu yangu tu mwenyewe atakunyoosha. Hujui tumeishi vipi toka awali. Magumu mangapi tumebebana leo hii eti hutaki ukaribu na ndugu wa mume. Umeolewa ama umeoa?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Utajiju na dada yako.Msaada kwa dada sio lazima😲 acheni ujingi nyie ni wake sio ndugu. Tukifiriaikaga ndio mnakuwaga wa kwanza kutubwaga. Dada yangu ni lazima nimsaidie
Wee sema utajiju...dada atasaidiwa na wewe kama mke nuna ununavyo. As long as nakupatia huduma za msingi ndani ya ndoa nimeshatimiza jukumu langu kam mumeUtajiju na dada yako.
Dada wa wanaume wanasahau kuwa mwanaume akishaoa wao si kipaumbele tena, kipaumbele na jukumu lake ni kuhusu mkewe.
Wao inabaki kuwa msaada na msaada si lazima.
Wanawake huwa tuna shida sana.... ukiachana na uanamke mawifi pia sisi ni shida nyingine....ukute sasa na mawifi hawana wanaume wa kuwakeep busy macho pua na masikio kwa kaka basi mnakua kama wake wenza.
hivo hivo tu tutafika, tukishindwa kufika tunakula kona.