Mawifi loving ruksa lakini ukweli wa mambo kaka yenu amependa

Mawifi loving ruksa lakini ukweli wa mambo kaka yenu amependa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1638632636717.png
 
Mmh! Hivi hapo kuna shida gani? Yaani kumbeba mwanangu na kufanya vikazi vya nyumbani ni maajabu?

Mbona mimi mtoto wangu mdogo wa kike nambeba naenda nae hadi sokoni? Tena akiniona hata mama yake hamtaki.
Wa hivi mpo wachache sana!
 
Mmh! Hivi hapo kuna shida gani? Yaani kumbeba mwanangu na kufanya vikazi vya nyumbani ni maajabu?

Mbona mimi mtoto wangu mdogo wa kike nambeba naenda nae hadi sokoni? Tena akiniona hata mama yake hamtaki.
Wee acha ujinga ...kila mtu abe e jukumu lake hapa...wee jukumu lako ni kutafuta pesa mke alee watoto
 
Ubovu wa hio hali afanyiwe dadaako, ndugu zako wa kike wata support, ufanye wewe kwa mkeo uone dada zako watakavyomshukia laaziz wako!
 
Back
Top Bottom