Mawifi msingi wa chuki zao ni kukatwa kwa ruzuku toka kwa kaka zao [emoji108][emoji108]
Unakuta kabla ya kaka yao kuoa walikuwa wakimchomoa vijisenti vya hapa na pale na kufurahi,
Sasa kaolewa mtu anakuja anabana na kukata ruzuku yote , sasa hapo chuki itaepukika ?
Labda upate wawifi ambao wana financial freedom kinyume na hapo mke ujue kuendeleza upendo na mshikamano au ukiketa choyo umetangaza mgogoro na kwa baadhi ya familia wanamkuwadia kaka yao wakukomeshe [emoji108][emoji108]
Na watahahakisha unapata taarifa sahihi bila shaka kuwa jamaa ana Mwanamke mwingine au wengine !
Kheri kuchagua upendo na ukarimu kwa ndugu, marafiki na majirani maana upendo husitiri wingi wa makosa!