Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Wenyewe hawajaolewa wako 3 hapo kwao yani wanamajunguUngewaambia waolewe na huyo kaka yao kama wanaona huyo dada yako/mdogo wako anafaidi.
Asante kwa ushauri nitamwambia shem afanye hvyoHabari za asubuhi mkuu natumaini wewe na dada pamoja na shemeji yako wote hamjambo
Pole kwa kadhia mnayoipata kutoka kwa mawifi zenu lakini ili kuondoa hizo kero ni kwanini dada yako pamoja na mume wake wasiwaeleze ukweli hao ndg wa mume kuwa hela alikopa mke kama vile ambavyo nyie upande wa mke mnatambua hela amekopa dada yenu
Nadhani hivyo labda itasaidia
achaneni nao wazidi kunenepeana nyumbani kama midoli ya bata.Wenyewe hawajaolewa wako 3 hapo kwao yani wanamajungu
Alafu wakwanza kupakua huyo wifi cjui wanashida ganKwakweli mdogo wangu akioa nitakua wifi bora sana.....haya mamtu yanaitwa mawifi ni taabu Jana tu nimetoka kuona wifi wa dada yangu alivyo mpuuzi
Sista kabatiza mwanawe akafanya sherehe ...mapishi yote masufuria zaidi ya matano kapika mwenyewe Sista wifi mtu kakaa kwenye kiti anapiga story anasubiri kiive....kwakweli nimeshangaa sana
Wanakera yaani kanitibua eti kisa mke wa mbunge basi weeeeeeeee kama vile ye ndo Janet magufuli ...mawifi jamani ni keroooAlafu wakwanza kupakua huyo wifi cjui wanashida gan
Me nshaondoka mkuuNa ww si uondoke kwa dada yako.
Utakuwa umetusaidia ntakuchek dmNipe mawasiliano yao ili nioe mmoja wao wanaweza wakapunguza mdomo
Hili gubu wataliamishia kwa dada zakoNipe mawasiliano yao ili nioe mmoja wao wanaweza wakapunguza mdomo