Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Habarini wakuu.......
Hawa mawifi wa dada yangu wanaona kama dada yangu anafaidi sana mali za kaka Yao
Nyuma ya pazia dada yangu alichukua mkopo wakakubaliana kama familia wafanye biashara na mme wake
Mungu akasaidia biashara zinaenda vzr wakapata mafanikio yakawaida tu sasa hawa ndugu wa mwanaume wanaona kama dada yangu na sisi ndugu zake tunafaidi sana kila siku wanatusengenya et kaka yao katusaidia maisha
Nyie mawifi kaeni kimya kwasababu hamjui nyuma yapazia kunanini