Max apewa mkataba mwingine mpya Yanga fc

Max apewa mkataba mwingine mpya Yanga fc

... [emoji3578] β€Ίβ€Ί π™ˆπ˜Όπ™“π™„ π˜Όπ™‹π™€π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™π˜Όπ˜½π˜Ό π™ˆπ™‹π™”π˜Ό

Baada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli.

Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari la kifahari pamoja na kumboreshea mshahara wake. Watamuongeza mkataba mpya wa miaka (4). Muda wowote kuanzia leo atasaini mkataba mpya na klabu hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, pia klabu hiyo itamuongeza mkataba mpya wing-back wao, Yao Kouassi Attohoula (26)

Ukiachana na viwango vyao, pia uongozi wa Yanga umeshtukia mchezo wa baadhi ya mawakala kutoka ndani na nje ya Nchi walioanza kuulizia mikataba yao.


Hata Morrison tuliambiwa amesaini miwili, kumbe mmoja bwaa! Hao madogo wote wana mwaka mmoja mmoja, hii ya kutangaza ni kutaka tu wasishawishiwe na vilabu vikubwa zaidi nchini
 
Back
Top Bottom