Max Malipo wawekeni wazi mawakala wenu kuhusu kupungua kwa kamisheni

hiyo ni kadhia, mimi mashine hyo nishaiuza majuzi, niliyemuuzia alinipa 80% ya malipo, kanipigia leo asubuhi kuwa anataka airudishe mashine hana hela ya kumalizia, nimemwambia hiyo 20% iliyobaki nmekusamehe, nakutakia biashara njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kama ni mimi ningempelekea na rollers kama 10 hivi za kumtia moyo mshkaji
 
Kwani maxcom ni ya serikali? Au umevurugwa ndio maana unachangia ndivyo sivyo. Waulize maxcom kwani yeye ashushe kamisheni wakati wengine bado kamisheni ni nzuri?
Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya. Hao wanaotoa kamisheni nzuri ni kina nani?? Selcom nayo wameshusha. Na sababu kubwa ni kutokana na mabadilko ya kutumia huo mfumo wa kiserikali. Sasa hapo unawatoaje serikali kwenye kuhusika na upandaji wa hiyo gharama?
 
Mkuu unategemea maxmalipo wakulipie hela ya kula,kunywa,kulala,kuvaa,pango,kodi?
Yaani biashara unayofanya ndio hyo tu?basi acha.
 
hiyo ni kadhia, mimi mashine hyo nishaiuza majuzi, niliyemuuzia alinipa 80% ya malipo, kanipigia leo asubuhi kuwa anataka airudishe mashine hana hela ya kumalizia, nimemwambia hiyo 20% iliyobaki nmekusamehe, nakutakia biashara njema
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
HAPA KAZI TUUU
 
Mkuu unategemea maxmalipo wakulipie hela ya kula,kunywa,kulala,kuvaa,pango,kodi?
Yaani biashara unayofanya ndio hyo tu?basi acha.
nimemshangaa sana anaongezea hadi apate gari. juu ya hako ka biashara. wangapi wamefanya kazi serikalini mpaka wqnastaafu hawqna gari?
nani kasema kila biashara italeta nyumba gari na mavazi mbali na chakula?

somtym naonea huruma viongozi wetu kwa vichwa wavyoviongoza vyenye fikra kama hizi.
 
hiyo ni kadhia, mimi mashine hyo nishaiuza majuzi, niliyemuuzia alinipa 80% ya malipo, kanipigia leo asubuhi kuwa anataka airudishe mashine hana hela ya kumalizia, nimemwambia hiyo 20% iliyobaki nmekusamehe, nakutakia biashara njema
hahahaha dah...ila ntaftie namimi mteja mkuuu ukimpata njoo nishtue chap namimi niitoe hii kadhia..zipo mbili
 
Kama SERIKALI imeweka mfumo wa kuthibiti uvujaji wa mapato yake hilo halina ubaya inabidi hao maxmalipo & co wajiongeze vinginevyo watakosa wakala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga mkubwa kweli kweli kwa iyo kama. Ww umestafu huna. Gari wala nyumba ndo unataka kila mtu asiwe na hivo vitu kisa tu we huna.... Hii ni. Roho mbaya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…