Max Nzegeli ni Chief of Staff wa Yanga

Max Nzegeli ni Chief of Staff wa Yanga

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
 
Safii sana Max ana nidhamu hali juuu sanaaas
 
Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
Mbappe wa..........
 
Mbona hayupo harusini..kwny mahari hakuwepo na kwny ndoa hakuwepo...aaah kumbe wana mechi leo...
 
Back
Top Bottom