Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Na hapo bado jamaa ana nguvu, speed pia ball skills za hatari huyu jamaa ndo atachukua umaarufu wa Mayele msimu huu. Halafu ki position huyu jamaa ni SS yaani Second striker kama ilivo Kwa Messi au Nkuku...Hakika jamaa anajua boli kwa huyu tatizo la winga Yanga sasa tutapumzika..
Jamaa anashuka hadi chini kuchukua mipira na kupandisha nayo kwa kasi.
Time will tell