Max zengeli ni bora kuliko Kibu denis

Max zengeli ni bora kuliko Kibu denis

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
their personal abilities

Kibu Denis ni bora kwa speed and shooting
forcing. Na heading

Maxi zengeli ana football intelligence saana
Ni bora kwa passing
Dribbling
Finishing
Shooting
Heading
Defending
 
their personal abilities

Kibu Denis ni bora kwa speed and shooting
forcing. Na herding

Maxi zengeli ana football intelligent saana
Ni bora kwa passing
Dribbling
Finishing
Shooting
Herding
Defending
Hii ishu ya kulinganisha wachezaji ilizungumzwa jana na Ahmed Ally, na mimi niliobserve ina ukweli. Alisema hivi karibuni unakuta watu fulani (Yanga) wanalinganisha mchezaji wao na mchezaji wa Simba. Huwezi kukuta wanalinganisha mchezaji wa Yanga na mchezaji wa labda Ahly au Wydad au Mamelodi. Utakuta wanasema Nzengeli ni bora kuliko Kibu, Aziz Ki ni bora kuliko Chama, Diara ni bora kuliko Manula, sijui Mudathir ni bora kuliko Muzamiru, au Mwamnyeto ni bora kuliko Che Malone na Dickson ni bora kuliko Inonga

Lakini si rahisi kusikia kinyume chake, yaani huwezi kukuta mashabiki wa Simba wanahangaika kulinganisha mchezaji wao na wa Yanga.

Hii inaashiria nini?
 
Kwa hiyo mayele na beleke
Mayele na Kibu walikuwa wanani ndo walikuwa wanalinganisha au
And tumieni akili huwezi kuchukuwa mchezaji TZ uende kumlinganisha na mchezaji ambaye anacheza league nyingine
Toka lini ukasikia mchezaji wa premier league Analinganishwa na laliga
[emoji23][emoji30][emoji16]
 
Hii ishu ya kulinganisha wachezaji ilizungumzwa jana na Ahmed Ally, na mimi niliobserve ina ukweli. Alisema hivi karibuni unakuta watu fulani (Yanga) wanalinganisha mchezaji wao na mchezaji wa Simba. Huwezi kukuta wanalinganisha mchezaji wa Yanga na mchezaji wa labda Ahly au Wydad au Mamelodi. Utakuta wanasema Nzengeli ni bora kuliko Kibu, Aziz Ki ni bora kuliko Chama, Diara ni bora kuliko Manula, sijui Mudathir ni bora kuliko Muzamiru, au Mwamnyeto ni bora kuliko Che Malone na Dickson ni bora kuliko Inonga

Lakini si rahisi kusikia kinyume chake, yaani huwezi kukuta mashabiki wa Simba wanahangaika kulinganisha mchezaji wao na wa Yanga.

Hii inaashiria nini?
Ahmed ameshawapata walio wake, wewe ni mmoja wao.
 
Ulilenga kuandika heading ama herding?
Herding umemaanisha nini mkuu?
 
And tumieni akili huwezi kuchukuwa mchezaji TZ uende kumlinganisha na mchezaji ambaye anacheza league nyingine
Toka lini ukasikia mchezaji wa premier league Analinganishwa na laliga
[emoji23][emoji30][emoji16]
Labda wewe ni mshabiki wa mpira wa bongo tu. Ungekuwa mfuatiliaji mzuri, wala usingesema kuwa wachezaji wa Ligi mbili tofauti hawalinganishwi! Ronaldo na Messi hawajawahi kucheza ligi moja kwa wakati mmoja, lakini tangu enzi za uwepo wao Manchester Utd na Barcelona wamekuwa wakilinganishwa
 
[emoji23][emoji30] mwaka gani uo ndugu yangu bato ya Ronaldo na Messi imeanzia mwaka 2009 anafikiri Nani hajui ilo kiongozi
 
Sasa mbona unajikaanga mwenyewe, si umetoka kusema kuwa tangu lini wachezaji wa ligi mbili tofauti wakafananishwa? 😁😁😁
 
their personal abilities

Kibu Denis ni bora kwa speed and shooting
forcing. Na herding

Maxi zengeli ana football intelligent saana
Ni bora kwa passing
Dribbling
Finishing
Shooting
Herding
Defending
Ana football intelligent au intelligence?

Hiyo herding ndo umemaanisha nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wewe ni mshabiki wa mpira wa bongo tu. Ungekuwa mfuatiliaji mzuri, wala usingesema kuwa wachezaji wa Ligi mbili tofauti hawalinganishwi! Ronaldo na Messi hawajawahi kucheza ligi moja kwa wakati mmoja, lakini tangu enzi za uwepo wao Manchester Utd na Barcelona wamekuwa wakilinganishwa
Ronaldo na Messi hawajawahi kucheza ligi moja! Serious? Nifafanulie kidogo ulichokimaanisha hapo.

Ama nawe shabiki wa soka la bongo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ya kulinganisha wachezaji ilizungumzwa jana na Ahmed Ally, na mimi niliobserve ina ukweli. Alisema hivi karibuni unakuta watu fulani (Yanga) wanalinganisha mchezaji wao na mchezaji wa Simba. Huwezi kukuta wanalinganisha mchezaji wa Yanga na mchezaji wa labda Ahly au Wydad au Mamelodi. Utakuta wanasema Nzengeli ni bora kuliko Kibu, Aziz Ki ni bora kuliko Chama, Diara ni bora kuliko Manula, sijui Mudathir ni bora kuliko Muzamiru, au Mwamnyeto ni bora kuliko Che Malone na Dickson ni bora kuliko Inonga

Lakini si rahisi kusikia kinyume chake, yaani huwezi kukuta mashabiki wa Simba wanahangaika kulinganisha mchezaji wao na wa Yanga.

Hii inaashiria nini?
Kwa hiyo simba inavojicompare na yanga kimataifa mnakuwaga mmelala au ........ comparison nzuri lazima uchukue watu wanaowezana na mazingira yanayofanana ......ujifananishe na al ahaly kwa kipi akti miundombinu,hela n.k wamekuzidi uoni mzani hautabalance
 
Hii ishu ya kulinganisha wachezaji ilizungumzwa jana na Ahmed Ally, na mimi niliobserve ina ukweli. Alisema hivi karibuni unakuta watu fulani (Yanga) wanalinganisha mchezaji wao na mchezaji wa Simba. Huwezi kukuta wanalinganisha mchezaji wa Yanga na mchezaji wa labda Ahly au Wydad au Mamelodi. Utakuta wanasema Nzengeli ni bora kuliko Kibu, Aziz Ki ni bora kuliko Chama, Diara ni bora kuliko Manula, sijui Mudathir ni bora kuliko Muzamiru, au Mwamnyeto ni bora kuliko Che Malone na Dickson ni bora kuliko Inonga

Lakini si rahisi kusikia kinyume chake, yaani huwezi kukuta mashabiki wa Simba wanahangaika kulinganisha mchezaji wao na wa Yanga.

Hii inaashiria nini?
Hii comment hakikisha anaisoma yule muhasibu. Ndio ianze kujibiwa
 
Back
Top Bottom