Pole Kwake kwa aliyoyapitia na Hongera Kwake kwa kuwa Champion of Freedom of Speech kupitia huu Mtandao wake mkubwa, mzuri, elimishi na burudishi wa JamiiForums, ila je, JamiiForums Founder Maxence Melo nae ana maoni gani ya Machungu ambayo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" napitia kwa Kufungiwa kwa muda usiojulikana ( tena bila ya Kutaarifiwa lolote ) kuchangia Jukwaa la Michezo, kupigwa Kwake BAN za Kimkakati, Wivu na Chuki huku wale ambao Kutwa tu Wanaonichokoza, Wananitukana, Wananidhalilisha, Wananishambulia na Wananichafua hapa JamiiForums?Habari wakuu.
Ndg. Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi serikali ilimhenyesha akiupigania uhuru wa habari Tanzania.
Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;
1. Pasi vyake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria mahakamani mara 159
Unaweza kumsikiliza hapo chini
View: https://www.instagram.com/reel/C1EbLPiIL-V/?igshid=NjZiM2M3MzIxNA==
Maxence Melo msikilize kijana wako.Pole Kwake kwa aliyoyapitia na Hongera Kwake kwa kuwa Champion of Freedom of Speech kupitia huu Mtandao wake mkubwa, mzuri, elimishi na burudishi wa JamiiForums, ila je, JamiiForums Founder Maxence Melo nae ana maoni gani ya Machungu ambayo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" napitia kwa Kufungiwa kwa muda usiojulikana ( tena bila ya Kutaarifiwa lolote ) kuchangia Jukwaa la Michezo, kupigwa Kwake BAN za Kimkakati, Wivu na Chuki huku wale ambao Kutwa tu Wanaonichokoza, Wananitukana, Wananidhalilisha, Wananishambulia na Wananichafua hapa JamiiForums?
Suala lake rahisi tu akiwa-pm moderators watampa maelezo mazuri sana na watamweleza amekosea wapi na afanye niniMaxence Melo msikilize kijana wako.
Kama ana makosa mwambie dhsmbi zake kama biblia isemavyo tuwaonye watu makosa yao
Tuendelee kumuombeaJamaa mvumilivu sana, miaka ijayo atakuwa na heshima kubwa kama BABA LA UHURU WA KUJIELEZA
Sio nchi hii tu ni dunia nzima,ukishaamua kuwa mwana habari serious ujuwe kuwa unaingia kwenye vita ya moja kwa moja na serikali,na wakati mwingine ni life and death,kwahiyo maisha ya uandishi wa habari sio rahisi kihivyo...Hii nchi ni ngumu sana
Maxence Melo post hii ikuimarishe mkuuSio nchi hii tu ni dunia nzima,ukishaamua kuwa mwana habari serious ujuwe kuwa unaingia kwenye vita ya moja kwa moja na serikali,na wakati mwingine ni life and death,kwahiyo maisha ya uandishi wa habari sio rahisi kihivyo...
dah ni noma yaani!Hahaha hao magaidi uliwataja sasa😂