Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka pole mtukuze Mungu, wewe upo wao hawapo, kila jambo baya lina mwisho wake!!Habari Wakuu,
Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania.
Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;
1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria Mahakamani mara 159
Unaweza kumsikiliza hapo chini
View attachment 2848056
Tungojeaa kauli kutoka kwake...Hilo la kuchaguliwa haliko vizuri linamuweka kwenye nafasi ngumu sana kuendelea na msimamo, kunakuwa na mgongano wa maslahi