Habari Wakuu,
Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania.
Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;
1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria Mahakamani mara 159
Unaweza kumsikiliza hapo chini
View attachment 2848056