Maxence Melo apewe PhD ya heshima

Maxence Melo apewe PhD ya heshima

Mtoa wazo, uko sawa, universities mbalimbali duniani nadhani wanalifikiria hilo. Mama D , naye atakubaliana na hoja hii.
 
Daraja jipya kubwa linalojengwa pale wami lipewe jina la Maxence Melo maana kuacha Tanzania kumfaidi, amefanikiwa kuiunganisha East Africa na dunia hapa jf

Wengi tunafaidika sana lakini nina uhakika Serikali na watendaji wake inafaidika sana na jamiiforums
 
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.

Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au utofauti mkubwa katika ufanyaji wajambo lenye Tija kwa jamii. Mfano wawatu waliotunukiwa hesma hii ni Muasisi wa Microsoft , Gates, nq Yule Luciano yule muitaliana wa opera min.

Kwanini Maxence apewe?
Nani asiyejua mapinduzi ya habari za kidigital Tanzania yameletwa na Jamiiforum?

- Unajua JamiiForums ni jukwaa pekee la kitanzania linaloruhusu watumiaji wake kutoka kutoka maoni huku likijitahidi kulinda privacy ya watumiaji wake?

- Anajua ndio Ndio mtandao wenye machapisho mengi zaidi kutoka Tanzania?

- Anajua hakuna mahali palipoandikwa kwa kiswahili mtandaoni maranyingi kama jamii forum?

- anyway nahisi kuna mengi ambayo bado siyajui kuhusu Huu mtandao lakini kwa hayo machache yanaweza kuwa sifa za heshma hiyo.
Mwisho, Haya nimaoni yakibinafsi.
Si akasomee mbona bado kijana au anataka ujiko wa dezo kama akina Jakaya Kikwete kilaza anayejiita daktari wakati hata masters hana.
 
Nani asiyejua mapinduzi ya habari za kidigital Tanzania yameletwa na Jamiiforum?[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1533][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
My JF from the point of view!

Hatupo(JF) kwa ajili ya kushindana na marafiki..! Tumebeba matumaini ya wengi..!!!

Max deserves honorable PhD!
Screenshot_20210924-044324.jpg
 
Si akasomee mbona bado kijana au anataka ujiko wa dezo kama akina Jakaya Kikwete kilaza anayejiita daktari wakati hata masters hana.
PhD za heshima sio za kusomea bali ni za kutunukiwa kulinganya na mchango wako chanya kwenye jamii husika
 
Dr tale tale 🤣🤣🤣🤣
Sijui lini nitaacha kucheka
 
Back
Top Bottom