Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mbona wewe mlevi?
Hatari lakini salamaAiseee,lile jukwaa lilikuwa hatari
Naumwa....njaa inauma. .mwili hauna nguvu....kila kitu kimelegeaHujambo kipenzi?
Nimeelewa mjukuu. Nilikuwa nachombezaYupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.
Kuwepo kwa nyuzi za pombe na kamari ambazo ni user created content na wala sio promo (ads) ambazo zinawaingizia hela hilo sio tatizo lao bali ni la sisi watumiaji tulioanzisha hiyo mijadala.
Pole sana kipenzi. Umejaribu kwenda hospitali au unataka nije kukumasaji?Naumwa....njaa inauma. .mwili hauna nguvu....kila kitu kimelegea
Alichoongelea si ni matangazo? Mbona una yumba sana.Jukwaa la matangazo ni kitu tofauti..
Angalia browser yako ina hilo tangazo la CRDB au wanapromote channels zao, hayo ndio matangazo yanayozungumzwa, sio majukwaa
I'm out!Alichoongelea si ni matangazo? Mbona una yumba sana.
Betting ni haramu, ila pombe siooooo.
Hata mm sijaelewa media kutegemea matangazo in uzamani .Sijaelewa aliposema kutegemea matangazo ni ni zamani..JF inategemea nini??
Una sura ya kilevi kinoma
Njoo na chupa ya mtoriNimeelewa mjukuu. Nilikuwa nachombeza
Pole sana kipenzi. Umejaribu kwenda hospitali au unataka nije kukumasaji?
Ah nikajua chupa ya K Vant bhana...Njoo na chupa ya mtori
After mtori ni Wine. Situmii kvantAh nikajua chupa ya K Vant bhana...