Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

After mtori ni Wine. Situmii kvant
Uje na wine ya kunilegeza zaidi😀😀
Unamaanisha Amarula sio?

Amarula + K Vant kwani mpenzi unataka kunizalia binti?
 
Basi kama hii jamii forums ni Imani sisitahili kuwa humu maana mm ni mfuasi wa betting na pombe
 
Hayo ni maoni na mtazamo wake asiharibu lishe ya wengine, pombe dhambi ila kula tunda kimasihara unaenda ahera
 
uzuri wake
uzi wa kubeti upo
mada maalum ya walevi ipo

sisi 3 mexence 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi

Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela.

Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni suala la zamani sana ni lazima kukubali kubadilika

Amesema ni suala la ajabu kwa vyombo kulilia matangazo.

Melo yuoko mubashara StarTv muda huu
Huyo melo mbona kama mtumiaji wa kvant
 
Back
Top Bottom