Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ngoja waandishi waje kutoa muongozo !Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
Anyway Hawa wahuni hawataki kumulikwa.Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
Ni kweli media zina hali mbaya, na waandishi tuna hali mbaya, mimi mwenyewe nikiwemo, ilaKwani Shemeji yangu Pascal Mayalla, Mzee wa PPR anasemaje juu ya jambo hili! Kama hali ni mbaya mbona hataki kurudi Usukumani kwenda kuchunga ng'ombe?
Uchumi au mnatishwaNi kweli media zina hali mbaya, na waandishi tuna hali mbaya, mimi mwenyewe nikiwemo, ila
Nimeandika sana kuhusu hali ya uchumi wa vyombo habari
Gentleman unasemaje hapoMkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Balile, Kibanda, Islam...... wapo wengi kweli kweliMkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Hali ya uchumi ni mbaya kwa sababu fani imevamiwa na ''vibaka'' na watu wengi wamedharau kazi zenu. Kitu kama mauaji ya 29/10 ingekuwa imetokea Kenya, waandishi wa habari wangefanya uchanguzi na mambo mengi yangewekwa hadharani. Kuna kisingizio huwa mnatumia kuwa serikali inawanyima uhuru na kazi yenu ni ya hatari. Mnatakiwa mjue kuwa uandishi wa habari ni kazi ya hatari sehemu nyingi duniani lakini wenzenu bado wanafanya kazi kwenye mazingira hayo.Ni kweli media zina hali mbaya, na waandishi tuna hali mbaya, mimi mwenyewe nikiwemo, ila
Nimeandika sana kuhusu hali ya uchumi wa vyombo habari
Wanatishwa,wakiandika au kuzungumzia mambo fulani yanaowagusa watawala wanafanyiziwaMkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo✍🏿Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Uchumi au mnatishwa
Ova