Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana

"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Mwandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Mwandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana

"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Gentleman unasemaje hapo
Tlaatlaah

Ova
 
Nyani mzee amekwepa mishale mingi.

Akachukue uzoefu kwa wakongwe asijione tayari kafika.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana

"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Balile, Kibanda, Islam...... wapo wengi kweli kweli
 
Ni kweli media zina hali mbaya, na waandishi tuna hali mbaya, mimi mwenyewe nikiwemo, ila
Nimeandika sana kuhusu hali ya uchumi wa vyombo habari
Hali ya uchumi ni mbaya kwa sababu fani imevamiwa na ''vibaka'' na watu wengi wamedharau kazi zenu. Kitu kama mauaji ya 29/10 ingekuwa imetokea Kenya, waandishi wa habari wangefanya uchanguzi na mambo mengi yangewekwa hadharani. Kuna kisingizio huwa mnatumia kuwa serikali inawanyima uhuru na kazi yenu ni ya hatari. Mnatakiwa mjue kuwa uandishi wa habari ni kazi ya hatari sehemu nyingi duniani lakini wenzenu bado wanafanya kazi kwenye mazingira hayo.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana

"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Wanatishwa,wakiandika au kuzungumzia mambo fulani yanaowagusa watawala wanafanyiziwa

Ova
 
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana

"Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo
Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Muandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa Vijana kuonyesha amepitia mengi ambapo zamani alikuwa Muandishi wa Habari za uchunguzi anageuka chawa anayesifia ujinga"Maxence Melo✍🏿
 
Back
Top Bottom