Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Maxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa.
Tunajenga hofu kwa vijana wa Kitanzania kuwa na udhubutu kufanya vitu kama hivi, tunatamani watu wenye uwezo wa kufanya vitu kama hivi kikakua nje ya mipanga ya Tanzania na kikaweza kufanya zaidi na zaidi.
Kimsingi kinauwa local content, tunaruhusu majukwaa ya dunia kuja kutawala kwetu na tunauwa bunifu za asili za kwetu.