Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wapuuzi wa CCM haoMaxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa.
Tunajenga hofu kwa vijana wa Kitanzania kuwa na udhubutu kufanya vitu kama hivi, tunatamani watu wenye uwezo wa kufanya vitu kama hivi kikakua nje ya mipanga ya Tanzania na kikaweza kufanya zaidi na zaidi.
Kimsingi kinauwa local content, tunaruhusu majukwaa ya dunia kuja kutawala kwetu na tunauwa bunifu za asili za kwetu.
Kijijini kwetu sisii, kuna mtu alitengeneza mashine ya kusaga unga inayotumia mikono (kuizungusha isage), walimkamataa na kumfunga miaka 5Huu ujinga wa kuua ubunifu wa wazawa umekuwa ukifanywa tangu uhuru:-
....waliobuni bunduki .
....waliobuni redio.
....waliobuni helkopta .
Wote wamekuwa wakishighulikiwa na kupotezwa.
Duh !?, kwenye utawala wa nani!?Kijijini kwetu sisii,kuna mtu alitengeneza mashine ya kusaga unga inayotumia mikono (kuizungusha isage),walimkamataa na kumfunga miaka 5
pale COSTECH kulikuwa na mgurugenzi wa ajabu sana, aliminya sana bunifu za wazawa na kuzidharau badala ya kuzikuza na kuziendeleza.Huu ujinga wa kuua ubunifu wa wazawa umekuwa ukifanywa tangu uhuru:-
....waliobuni bunduki .
....waliobuni redio.
....waliobuni helkopta .
Wote wamekuwa wakishighulikiwa na kupotezwa.