Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

sijawahi kumsikia huyu Mkurugenzi wa JF, kumbe ni mtu makini kiasi hicho!
ametema madini hatari!!!,
namshauri pia sio vibaya kama atatia nia mwaka 2025, kwani maarifa yake ni muhimu sana ktk kulisukuma taifa letu mbele.
Dah hizi zana kila mtu anapofanya kazi yake ikaonekana kwa jamii halafu, wengine wanataka aingie kwenye siasa huwa ina nikera sana.

Sio lazima wote wanaofanya kazi zao vizuri wakagombee ubunge, hayo ni mawazo finyu.
 
Pia Moderator wote nawasifu kwani alielezea jinsi walivyokuwa makini, Mada haiendi hewani km ina makosa zaidi ya masaa mawili.

Kuna Mada moja ya Msiba wa Mstaafu nilikiandika kwa njia ya simu baada ya kuona hakipo humu JF nikacopy attachment moja hivi, asubuhi naamka yaani wamesharekebisha na kuweka vizuri na alert zote km TANZIA.

Naikubali kabisa JF ni tofauti sana na Tweeter ya wahuni tu sasa
 
1622470665462.jpeg

Siku moja clouds watualike na sisi wanachama tufunguke. Ila tutaenda tumejifunika nyuso kama maninja...
 
Sijawahi kumsikia huyu Mkurugenzi wa JF, kumbe ni mtu makini kiasi hicho! Ametema madini hatari!!!,
namshauri pia sio vibaya kama atatia nia mwaka 2025, kwani maarifa yake ni muhimu sana ktk kulisukuma taifa letu mbele.
Tatizo ndugu yangu, uzoefu bongo ni kwamba wengi wa watu kama hao, ubadirika wakionjeshwa national cake....anyway keep it up Maxence and stay safe..
 
Back
Top Bottom