Maxence Melo: Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria

Wakuu wa idara na taasisi zote zilizo chini ya serikali hujigeuza kuwa machawa wa rais, ili kulinda nafasi zao.
 
Wizara ya Utumishi wa Umma si inasimamia maadili kwanini walishindwa kukemea ili suala
 
Lawama zote zinaenda kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…