Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

Hongera JamiiForums
 
Jamii Forum ndio mtandao ulio huru zaidi Africa hakuna mtandao wowote ulio huru kma jamii forum Africa hongera kwa Melo kwa kupigania haki ya kutoa maoni kwa vitendo.
Kuna Kila sababu watanzania wote tumpe tunzo ya heshima Melo tena yenye ukubwa wa Hali ya juu kabisa kwa mchango wake mkubwa Sana wa kutetea uhuru wa habari na maoni.

Mana bila Melo kukaza na kuwa makini katika maswala ya kimtandao weng wao leo wangekuwa ununio[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hongera sana Max,Mungu akutangulie

Hivi Kirefu cha CPJ ni nini?
 
Pongezi nyingi ziende kwa serikali ya awamu ya tano kwa kutupatia huu uhuru
Nilimskiliza Huyu mkurugenzi anahojiwa BBC, niliumia sana kusikia kuwa amesha hudhuria Mahakamani zaidi ya mar 100 , leo hii serikali unaishukuru kwa lipi ndugu? Namtakia maisha marefu huyu Mkurugenzi wa JF
 
hii taasisi ni ya wapi na mbona imekaa kiukanjanja hivi.
au ndio kazi ya nyalandu huko usa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…