Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

Hongera Sana Kwa hili maana juzi nimesikiliza habari, kweli ni jasiri wengine wamesalimu amri na sasa wapowapo tu
 
USHAURI
members/wanachama wote JAMII FORUMS tumuunge mkono boss wetu kwa zawadi. tuunde kamati ndogo iratibu michango kukingana na ukubwa wa zawadi itakayopemdekezwa lau tuonekane kumshika mkono ndugu yetu.

kiukweli anapitia mengi mno kutulinda, nasi hatuoni aibu kutoa kidogo 'neno zito la thamani' kama ASANTE zaidi ya neno tupu, hongera/pole.

najua wengi wananielewa na ninalo tumaini wataunga mkono sio lazima uwe mchango mkubwa sana. lengo ni kumuinesha mkuu melo kuwa kondoo wake wanautambua umuhimu wa mchungaji wao.

kiasi: napendekeza;
*cha chini 5,000
*cha juu 10,000
*tanbihi: kwa mwenye ari na utashi atoe zaidi ili ku-boost wale wasiofikisha lengo.

MKO TAYARIIIIIIIII!
 
Nilimskiliza Huyu mkurugenzi anahojiwa BBC, niliumia sana kusikia kuwa amesha hudhuria Mahakamani zaidi ya mar 100 , leo hii serikali unaishukuru kwa lipi ndugu? Namtakia maisha marefu huyu Mkurugenzi wa JF
naishukuru kwa kuhakikisha watz wanaishi kama mashetani
 
Back
Top Bottom