Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Sijui Nape anamlenga kiongozi gani huyo wa kumchukulia Hata kwa uzushi.

Kwa sbb kama ni huyu Tundu Lissu wala hawezi kumpata kwa sheria yoyote Ile.

Na Tundu Lissu wala hakutoa taarifa yoyote ya uzushi isipokuwa naye alikuwa curious kuhoji tu ili waseme VP aliko na anafanya nini.

Alisema, kifo au ugonjwa haufichiki. Waseme vyovyote awe anaumwa au amekufa. Lakini serikali haikusema lolote na badala ghafla VP anaibuka kusikojukikana anaanza kulaumu na kushutumu watu kwa kumzushia kifo kwa kosa la watu wake mwenyewe na serikali yao.
Lile bumunda halina akili tumbo limejaa minyoo tu
 
Imebidi kuangalia profile yako na mijadala ya awali ulipochangia, nimejifunza na kugundua kitu.
Ni vijana wa uzazi wa mpango, ni kijana wa MEMKWA.
NI kijana wa Artificial insermination.
Ni kijana unayeishi kwa kutegemea kudra za Chama badala kujisimamia.
Huyu ndiyo wale waliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge, mama kalewa mataputapu kaliwa mtungo hata hamjui baba yake halisi.
 
Kwa nini umuamini waziri Mkuu ambae anaficha hata mvi zake kwa kupaka super black ili isionekane hata mvi moja ilihali ana miaka 63. Dunia nzima tafuta kiongozi mwenye umri wake ambae hata mvi moja tuone kama utampata. Mzee muongo muongo sana!!
Nashangaa sana kwa kweli....anapaka kanta ili iweje...white hair is a blessing kwamba Mungu amekupa umri, umeishi mpaka kufika hapo...!

Mwingine ni mwenyekiti bwana Freeman, naye anaweka kanta kichwani...!
 
Nashangaa sana kwa kweli....anapaka kanta ili iweje...white hair is a blessing kwamba Mungu amekupa umri, umeishi mpaka kufika hapo...!

Mwingine ni mwenyekiti bwana Freeman, naye anaweka kanta kichwani...!
Kichwa Cha Lowasa na Mbowe vyote vina mvi nyingi nyeupe na sura zao ndefu zinafanana na nywele na sura ya Nyerere
Kuna uvumi.mitaani kuwa Lowasa na Mbowe ni watoto wa nje wa kuzaa wa Nyerere je ni kweli?
 
Siyo tu hak ya kutoamini bro , Wa-Tanganyika "hawamwamini na hawatakaa wamwamini na kaulizake, Walisema wameongea na jiwe yupo fiti kumbe mtu yupo kwenye friji mochwari.

Wakatwambia umeme hakuna kwakuwa wachina wanachepusha maji ya umwagiliaji sasa wachina wamevunjiwa mashamba ila hamna umeme;

Waka sema umeme hamna kwakuwa maji yamekataa kuingian kwenye mabwawa, sasa mafuriko nchi nzima ila mhgao pale pale.
I wish everytime Kasimu akifungua mdomo tumkumbushe...wewe hatukuamini kwa ule uongo wako.

Mbaya zaidi alisema uongo akiwa kwenye mimbari ya msikiti huko njombe...hatuwezi kusahau hilo!
 
Mpango safari hii wakikutuma tena kwenye kazi maalum HAURUDI TENA.
bora useme walikupeleka wapi unaweza ukasaidiwa
 
Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondoa uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
🪠🔨💉
 
Kichwa Cha Lowasa na Mbowe vyote vina mvi nyingi nyeupe na sura zao ndefu zinafanana na nywele na sura ya Nyerere
Kuna uvumi.mitaani kuwa Lowasa na Mbowe ni watoto wa nje wa kuzaa wa Nyerere je ni kweli?
Na wewe ni mtoto wa nje ya ndoa wa Wasira maana sura hiyo hakuna haja ya DNA. Mkienda Jamhuri ya Gombe hamhitaji visa
 
Siyo kila kitu cha kusemwa hadharani nyie mabwege
Wakati late Nyerere alipopelekwa St Thomas tuliambiwa, late Mkapa alipoenda kufanyiwa operation ya hip huko Switzerland tuliambiwa na JK alipoenda US kufanya operation ya tezi dume pia tuliambiwa!

Ujinga wa watawala wa awamu ya 5/6 ni kudhani wao ni immortals...we are all humans with different responsibilities tu kwenye jamii, wao kama watawala na wengine kama raia wa kawaida!

There is no shame kwa binadamu kuumwa, hiyo ndiyo nature!
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.

Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.

Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"

Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"

Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondoa uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.

Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
sio Lazima serikali kuweka wazi kila jambo hata kama ni haki ya wananchi kufahamu.

Labda iwe serikali legelege...

Kwa serikali Makini na madhubuti ikishahibitisha na kujiridhisha kwamba kuna sababu muhimu za kiusalama kwa jambo fulani kutowekwa wazi, haitaweka wazi kamwe.....
 
Kumtembelea haiondoi tabia yake Lissu ya asili ambayo ni ukurupukaji,uongo, unafiki,kupayuka,mihemuko,ukigeugeu,undumila kuwili,n.k. Rais samia alikwenda kumtembelea na siyo kubadilisha hulka yake.
Una kila dalili za kumchukia tu TAL au kwa kifupi tuseme una roho mbaya tu 😂 dhidi yake binafsi!
 
Back
Top Bottom