demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee..
Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90' za mchezo unaziona ni ndogo.
Inawezekana tuliofurahia Nabi kuondoka tunapaswa tulie.. Huyu Gamondi ndio mbaya zaidi, timu inatembea kwa intensity ya hali ya juu kwa dakika zote 90', wachezaji wote wanaonekana fitness yao iko juu.
Alimuinua Konkoni, dakika (5) baadae akafunga bao .. Akamuinua Maxi dakika chache baadae akatoa Assist [emoji119]
Gamondi tutamuongelea baadae, tubaki na huyu dogo Maxi.. Katika mechi (5) nilizomshuhudia ametengeneza nafasi nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Yanga.
◉ Alitoa Assist dhidi ya [emoji1221] Kaizer chiefs
◉ Alitoa Assist dhidi ya Azam FC
◉ Alitengeneza nafasi ya kikatili dhidi ya Simba SC kwenye fainali ya Ngao ya jamii kwa Mzize, shukrani kwa Ally Salim AKASAVE ile on target ya Mzize.
◉ Alipiga pre-assist ikaenda kwa Lomalisa kisha Lomalisa akatoa Assist kwa Aziz Ki kwenye mchezo dhidi ya ASAS [emoji1089].(CAF)
◉ Leo kwenye mchezo wa ligi kuu akitokea benchi ametoa assist dhidi ya KMC kwa Pacome.