Maxi Nzengeli kafanya balaa leo pale Chamanzi

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee..

Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90' za mchezo unaziona ni ndogo.

Inawezekana tuliofurahia Nabi kuondoka tunapaswa tulie.. Huyu Gamondi ndio mbaya zaidi, timu inatembea kwa intensity ya hali ya juu kwa dakika zote 90', wachezaji wote wanaonekana fitness yao iko juu.

Alimuinua Konkoni, dakika (5) baadae akafunga bao .. Akamuinua Maxi dakika chache baadae akatoa Assist [emoji119]

Gamondi tutamuongelea baadae, tubaki na huyu dogo Maxi.. Katika mechi (5) nilizomshuhudia ametengeneza nafasi nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Yanga.

◉ Alitoa Assist dhidi ya [emoji1221] Kaizer chiefs
◉ Alitoa Assist dhidi ya Azam FC

◉ Alitengeneza nafasi ya kikatili dhidi ya Simba SC kwenye fainali ya Ngao ya jamii kwa Mzize, shukrani kwa Ally Salim AKASAVE ile on target ya Mzize.

◉ Alipiga pre-assist ikaenda kwa Lomalisa kisha Lomalisa akatoa Assist kwa Aziz Ki kwenye mchezo dhidi ya ASAS [emoji1089].(CAF)

◉ Leo kwenye mchezo wa ligi kuu akitokea benchi ametoa assist dhidi ya KMC kwa Pacome.

20230823_225344.jpg
 
kuna ukweli mechi za yanga hutamani mpira uishe.
Mechi za Yanga ki ingilio cha uwanjani kiongezwe, kwa wale wanao angalia mpira kwenye kumbi za starehe na vibanda umiza bei za vinywaji na vi ingilio viongezwe.

Starehe wanayotoa Yanga ata kwa wale mashabiki wa timu za ughaibuni hawaipati tena ni kiwango chenye mwendelezo.
 
Mechi ya MKWAKWANI dhidi ya simba akuwepo kwani [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee..

Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90' za mchezo unaziona ni ndogo.

Inawezekana tuliofurahia Nabi kuondoka tunapaswa tulie.. Huyu Gamondi ndio mbaya zaidi, timu inatembea kwa intensity ya hali ya juu kwa dakika zote 90', wachezaji wote wanaonekana fitness yao iko juu.

Alimuinua Konkoni, dakika (5) baadae akafunga bao .. Akamuinua Maxi dakika chache baadae akatoa Assist [emoji119]

Gamondi tutamuongelea baadae, tubaki na huyu dogo Maxi.. Katika mechi (5) nilizomshuhudia ametengeneza nafasi nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Yanga.

◉ Alitoa Assist dhidi ya [emoji1221] Kaizer chiefs
◉ Alitoa Assist dhidi ya Azam FC

◉ Alitengeneza nafasi ya kikatili dhidi ya Simba SC kwenye fainali ya Ngao ya jamii kwa Mzize, shukrani kwa Ally Salim AKASAVE ile on target ya Mzize.

◉ Alipiga pre-assist ikaenda kwa Lomalisa kisha Lomalisa akatoa Assist kwa Aziz Ki kwenye mchezo dhidi ya ASAS [emoji1089].(CAF)

◉ Leo kwenye mchezo wa ligi kuu akitokea benchi ametoa assist dhidi ya KMC kwa Pacome.

Kijana yupo vizuri na hana mambo mengi. Yeye yupo Mpira ulipo, nipe nikupe boli litembee. Huyu ni mchezaji wa timu na sio mbinafsi.
 
Back
Top Bottom