Yanga alikosea kukubali mapumziko ya mda mrefu baada ya ngao ya hisaniHivi kwanini yanga kawafunga kmc nyingi vile kisha akashindwa kuwafunga mengi wauza maji wa Djibout.
kama ndo tom mwenyewe jeKweli kwanza alivyoingia kibabe tu mpaka unapata mzuka
Nb: toa credit ulipoitoa kwa tom Cruz.
Ogopa sana mchezaji anacheza mpira uku amechomekea alafu kapandisha soks ad magotin
hasa kama dakika 90 zimeisha na yakaamriwa yapigwe matutakuna ukweli mechi za yanga hutamani mpira uishe.
Hayupo kwa mkopo, ila alisaini mkataba wa mwaka mmojaMuda SI mrefu watasema yupo Kwa mkopo
Kuvuka na kucheza ligi kipi kizito mkuu.Je mfano mpira ukifanya maajabu yake wadhani mshangao utakuwaje.Mechi ya Djibout haikuwa na umuhimu.
Lengo ni kuvuka.
"alikosea kukubali" wakati hayo mapumziko mliyaomba wenyewe. Yanga bwana hamkosagi vituko, sijui kwa nini mnapenda kudanganyanaYanga alikosea kukubali mapumziko ya mda mrefu baada ya ngao ya hisani