Maxi Nzengeli kafanya balaa leo pale Chamanzi

Maxi Nzengeli kafanya balaa leo pale Chamanzi

Otoho ni hatari sana kuliko El Mereikh. Ni heri walitoa sare 1-1 nyumbani kwa Otoho
 
Yanga alikosea kukubali mapumziko ya mda mrefu baada ya ngao ya hisani
"alikosea kukubali" wakati hayo mapumziko mliyaomba wenyewe. Yanga bwana hamkosagi vituko, sijui kwa nini mnapenda kudanganyana
 
Back
Top Bottom