rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 129
mbadala wa tanesco utatokea endapo itatokea kampuni ambayo itaweza kuzalisha umeme na kusambaza wirelessly ( hii kitu tesla alishawahi kufanya japo washika dau watakwambia haiwezekani coz wanalinda maslahi yao) . au itokee kampuni ambayo inaweza vuna cosmic energy na kuiconvert kwenda electric energy.(hii kitu tesla aliwahi kufanya).
mbadala wa tanesco utatokea endapo itatokea kampuni ambayo itaweza kuzalisha umeme na kusambaza wirelessly ( hii kitu tesla alishawahi kufanya japo washika dau watakwambia haiwezekani coz wanalinda maslahi yao) . au itokee kampuni ambayo inaweza vuna cosmic energy na kuiconvert kwenda electric energy.(hii kitu tesla aliwahi kufanya).
hili ndio jibu sahihi..... malipo mengi ya serikali kwa sasa yanapitia direct ule mfumo mpya waliouwekaKampuni ya wakubwa hiyo sasa hivi inaelekea kaburini mzee kakaba vzr malipo mengi hayapitii huko
Ni mwezi sasa machine yangu haiungi kwenye server yao. Bahati ni sh 1700 tu IPO kwenye float. Kwenye Huduma ya banking walikwama siku nyingi. Kama haijafa IPO ICU.Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
Kampuni ya wakubwa hiyo sasa hivi inaelekea kaburini mzee kakaba vzr malipo mengi hayapitii huko
crdb nimeona mashine zao. nzuri sana ni touch screen halafu ziko smarthamia cellcom,au omba uwakala wa nmb/crdb,,upige kamisheni nono,,
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkoloni kweli, au sijui ndo siasa! Kulikuwa na kona kona gani wakati ilikuwa inasaidia kurahisha ufanyaji wa malipo?! Ina maana umesahau zamani kabla ya huduma za namna hii watu walikuwa wanalazimika kwenda ofisi za TANESCO na kukaa masaa kibao kununua umeme wa sh. 5000 tu?!Bure mnamlaumu ngosha! Ngosha ameondoa kona kona zilizokuwa zimewekwa pasipo umuhimu! Kampuni kama hii zilianzishwa na kupamba moto sana wakati wa utawala dhaifu wa Kikwete. Kipindi hicho nchi ilikuwa kwenye free gear kama gari linaloporomoka mlimani bila dereva. Ni ujanja wako tu fedha ya serikali ilikuwa nje nje. Kama kweli ni kampuni iliyokuwa na umuhimu kwanini sekta binafsi haiwatumii? Kuna makampuni mengi makubwa lakini hawaoni umuhimu wa kutumia huduma yao! Kampuni yao ilianzishwa specifically kwa ajili ya kupiga fedha ya serikali.
ha ha ha ha ha eti free gear ila trickle down effect ilikuwepo watu walikua wanafaidi keki ya taifaBure mnamlaumu ngosha! Ngosha ameondoa kona kona zilizokuwa zimewekwa pasipo umuhimu! Kampuni kama hii zilianzishwa na kupamba moto sana wakati wa utawala dhaifu wa Kikwete. Kipindi hicho nchi ilikuwa kwenye free gear kama gari linaloporomoka mlimani bila dereva. Ni ujanja wako tu fedha ya serikali ilikuwa nje nje. Kama kweli ni kampuni iliyokuwa na umuhimu kwanini sekta binafsi haiwatumii? Kuna makampuni mengi makubwa lakini hawaoni umuhimu wa kutumia huduma yao! Kampuni yao ilianzishwa specifically kwa ajili ya kupiga fedha ya serikali.
Hii kitu huwa nawaambiaga Watu alafu wanaishia tu kuniangalia kama Comedian fulani hivi.mbadala wa tanesco utatokea endapo itatokea kampuni ambayo itaweza kuzalisha umeme na kusambaza wirelessly ( hii kitu tesla alishawahi kufanya japo washika dau watakwambia haiwezekani coz wanalinda maslahi yao) . au itokee kampuni ambayo inaweza vuna cosmic energy na kuiconvert kwenda electric energy.(hii kitu tesla aliwahi kufanya).
Kufananisha Huawei na MaxMalipo ni kama tusi! MaxMalipo walikuwa wanapiga fedha ya serikali wakati Huawei wanazalisha na kuingiza pato serikalini.We mkoloni kweli, au sijui ndo siasa! Kulikuwa na kona kona gani wakati ilikuwa inasaidia kurahisha ufanyaji wa malipo?! Ina maana umesahau zamani kabla ya huduma za namna hii watu walikuwa wanalazimika kwenda ofisi za TANESCO na kukaa masaa kibao kununua umeme wa sh. 5000 tu?!
Kwanini sekta binafsi hawaitumii, kwa mfano sekta ipi?!
Moja ya mambo yanayoonesha ni namna gani Magufuli amefeli kwenye sekta binafsi ni hili la MaxMalipo! MaxMalipo walikuwa very aggressive with high desire to expansion beyond the borders! Magufuli angekuwa ni mtu mwenye maono, mosi angeanza kuangalia tatizo la MaxMalipo hasa lipo wapi! Kama MaxMalipo walikuwa wanafanya biashara kwa ujanja ujanja, basi wangeanza ku-deal na huo ujanja ujanja! Na kwavile serikali ilishakuwa na mpango wa kutumia system yao wenyewe; basi wangeanza kwenda nao taratibu kwenye kipindi cha mpito, huku wakifanya attempt ya kuwaunganisha na masoko ya nje!
Serikali isiyolinda local innovation and services ni serikali ya hovyo!! Look at China ilivyosimama na Huawei dhidi ya figisu figisu za Donald Trump!! Matokeo yake, badala ya Huawei kutetereka, ndo kwanza inazidi ku-shine na kutishia brands kubwa Apple na Samsung!! Apple pumzi zimewabana hadi wanafikiria kupunguza bei bidhaa zao kwenye soko la China kwa mamilioni ya Wachina wanazipa kisogo Apple!!
Wabongo mkisikia Wabongo wenzenu wanakatwa lose, mnafurahia!!
Unaona unavyo-miss point! Huawei na MaxMalipo ni local companies kwa upande wa China na Tanzania res[ectively! By the way, walikuwa wanapiga pesa kivipi?! Wapelekeni mahakamani basi kama kuna pesa waliibia serikali!!Kufananisha Huawei na MaxMalipo ni kama tusi! MaxMalipo walikuwa wanapiga fedha ya serikali wakati Huawei wanazalisha na kuingiza pato serikalini.
ulitumia mbinu gani ikaingia kwenye menu kuu? Mwezi sasa inarudi mwanzo na kuandika 'time out, try again later'.Hii insuficient Funds imenikuta sana na nahisi ni kampuni inaenda kutetereka na itakufa Lazima ninachodhani Account yao haina HELA ndo mana huduma inakua ivyo..yeye ni Middle man so ili kununua umeme au Maji n lazima uptie account yake kisha yeye akununulie akuletee..Inapotokea sasa Huyu Middle man Account haina hela Huduma hapo kupata sijuiii.
maxmalipo ishakufa hapa nilipo natafuta wakumzawadia hii mashine anirudishie Japo ka hela kangu maana imebaki kama pambo kuuzia Vocha za TTCL tu tena zangu mwenyewe.
Mashine ilikua na vifurushi vya Voda ila saivi hamna tena..Vocha kurusha Mtandao unasumbua ovyo ki ufupi hawa ndugu zetu Biashara waliipenda ila inaonyesha Biashara hii ishawashinda wanatafuta pakuangukia.
Naogopa kuweka Float hela nyingi maana naogopa siku Niamke mashine haiingiii kwenye Menu Kuu kama juzi Imenishindisha Siku nzima Naingiza Password ina load kisha inarudi pale pale Ilinpa mawazo nikasema hawa wanampango gani na hii hela yangu HUMU ndani..sema Nimekoma kwakweli nikiweka Float nyingi sana haizidi 50,000 sizidishi
Kuwa tu local company haitoshi. Kinacho matter ni kampuni inasaidia kwenye uchumi wa Nchi? IPTL ilikuwa ni kampuni yetu ati! Hao ndugu zako walikuwa wanapiga fedha kwa ku create unnecessary cost kwa serikali. Kwanini serikali isikusanye fedha yake yenyewe na badala yake iweke links zisizoeleweka!Unaona unavyo-miss point! Huawei na MaxMalipo ni local companies kwa upande wa China na Tanzania res[ectively! By the way, walikuwa wanapiga pesa kivipi?! Wapelekeni mahakamani basi kama kuna pesa waliibia serikali!!
Usikae na mashine yako Muda mrefu bila kuiwasha ..NA uKIWASHA SHUKA N0.3 configuration hakikisha una click pale ili ku update System ya mashine yako...Maana inapotokea maxmalipo wameongeza HUDUMA halafu wewe huja update Unazidi kuweka Mzigo...so kwa case yako wewe unaonyesha mashine yako Hujaiwasha muda mrefu sana SIJUI WEWE SASA ulikaa muda gani.ulitumia mbinu gani ikaingia kwenye menu kuu? Mwezi sasa inarudi mwanzo na kuandika 'time out, try again later'.
Hilo ndio jibu,chezea jiwe weweNilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
Kaka kuna watu humu shule nayo ni tatizoUnaona unavyo-miss point! Huawei na MaxMalipo ni local companies kwa upande wa China na Tanzania res[ectively! By the way, walikuwa wanapiga pesa kivipi?! Wapelekeni mahakamani basi kama kuna pesa waliibia serikali!!
Nani kakuambia IPTL ilikuwa local?! Au kwavile 30% ilikuwa inamilikiwa na Ruge ndo unasema local?! Btw, kwani kampuni inasaidia vp uchumi kama sio through ajira na kodi?! Unataka kuniambia MaxMalipo walikuwa hawatoi kwa ajira kwa Watanzania?! Unataka kusema MaxMalipo walikuwa hawalipi kodi?Kuwa tu local company haitoshi. Kinacho matter ni kampuni inasaidia kwenye uchumi wa Nchi? IPTL ilikuwa ni kampuni yetu ati! Hao ndugu zako walikuwa wanapiga fedha kwa ku create unnecessary cost kwa serikali. Kwanini serikali isikusanye fedha yake yenyewe na badala yake iweke links zisizoeleweka!