MaxiMalipo inakufa?

1. Kuhusu IPTL... ilikuwa local na siyo lazima wana-share wote wawe watanzania.
2. Ni kweli kampuni inachangia uchami kwa kutowa ajira na kulipa kodi, na kama ian uwezo wa ku-export tunapata fedha za kigeni.
3. LAKINI kutoa ajira na kulipa kodi kusije in expense ya kuikamua serikali otherwise itakuwa kama kujaza maji kwenye mtungi mbovu.
4. Ndiyo maana nasema walikuwa wana create cost zsizo na mashiko kwa sababu serikali au shirika la serikali LINAWEZA kufanya hicho hicho walichokuwa wanakifanya hao jamaa kwa cost ndogo zaidi.
 
Huyu macho_mdiliko anashangaza sana! Wala haielekei kwamba hana elimu bali ni miongoni mwa wale ambao wapo kutetea kila maamuzi ya serikali, yawe maamuzi mabaya au mazuri!!
Hakika uu mmojawapo wa walioathirika na huu uamuzi wa serikali. Sorry, kachukue jembe ukalime! Wakati wa kuishi kwa ujanja janja kama nzi kwa kulamba vidonda ulipita.
 
L
Liwe somo pia kwa watu wanaopenda kudandia hizi affiliate programs/ frachise za level ya chini. Mtoa franchise akiyumba anayumba na network yake yote! Ss iv patner wa max malipo are almost out of business. Pia makampuni ya vinywaji nayo yana mfumo huu cocacola, pepsi , serengeti breweries etc. Tujenge tabia ya kiwekeza kwenye fursa ambazo zina degree kubwa ya freedom, franchising kwa kifupi ni kumfanyia kazi mtoa franchise kwa tu mapato tudogo sana! Useless!
 
Hakika uu mmojawapo wa walioathirika na huu uamuzi wa serikali. Sorry, kachukue jembe ukalime! Wakati wa kuishi kwa ujanja janja kama nzi kwa kulamba vidonda ulipita.
This's too low!!! Hoja nyepesi kama hizi wenzako walishaachana nazo zamani baada ya kugundua wao wenyewe tayari wameshakuwa sehemu ya waathirika wakubwa wa mipango ya JPM pengine kuliko sie wengine!!Sijawahi kufanya kazi serikalini na wala sijawahi kutamani i!! Sijawahi kufanya biashata ya aina yoyote na serikali, japo ya kuuza ubuyu mashuleni na wala sijawahi kuitamanii! Hata hizo mashine zenyewe za MaxMalipo sijawahi hata mara moja japo kuzigusa; sasa unaweza kujiuliza ni watetea mfumo wangapi walikuwa wanakula kamisheni za MaxMalipo!!!

Kwahiyo we endelea tu kujipa moyo lakini kila mwenye kutaka kujua hatimae anajua kuwa nyie wenyewe ndio sehemu ya waathirika wakubwa wa mipango ay JPM kuliko sie wengine!
 
1. Kuhusu IPTL... ilikuwa local na siyo lazima wana-share wote wawe watanzania..
Then all businesses in the country are local!
2. Ni kweli kampuni inachangia uchami kwa kutowa ajira na kulipa kodi, na kama ian uwezo wa ku-export tunapata fedha za kigeni.
Utakuja kuelewa tu~

3. LAKINI kutoa ajira na kulipa kodi kusije in expense ya kuikamua serikali otherwise itakuwa kama kujaza maji kwenye mtungi mbovu.
NImekuuliza zaidi ya mara moja walikuwa wanaibia vp serikali lakini hujajibu hilo swali! Kwahiyo, ama unaongea out of majungu au u hodari wa kubeba maneno ya vichochoroni!!
4. Ndiyo maana nasema walikuwa wana create cost zsizo na mashiko kwa sababu serikali au shirika la serikali LINAWEZA kufanya hicho hicho walichokuwa wanakifanya hao jamaa kwa cost ndogo zaidi.
Kuweza kufanya ni jambo moja na kufanya ni jambo lingine! Ulitakiwa kujibu ikiwa huduma zilizokuwa zinatolewa na MaxMalipo pia zilikuwa zinatolewa na serikali lakini zitupwa kapuni in favor of MaxMalipo!

Pamoja na hayo, nimekuaambia baadhi ya kazi zilikuwa zinafanywa na MaxMalipo hadi kesho zinafanywa na makampuni ya simu, na baadhi ya mabenki! Kwahiyo unataka kusema hizo costs zilikuwa zinakuwa created na MaxMalipo peke yao? Kwa mfano, watu wengi wananunua umeme kwa kutumia simu! Unataka kuniambia zile transactions zinazofanywa na kampuni za simu, pesa yake yote inaenda TANESCO as a charity work?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…