Huyu macho_mdiliko anashangaza sana! Wala haielekei kwamba hana elimu bali ni miongoni mwa wale ambao wapo kutetea kila maamuzi ya serikali, yawe maamuzi mabaya au mazuri!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu macho_mdiliko anashangaza sana! Wala haielekei kwamba hana elimu bali ni miongoni mwa wale ambao wapo kutetea kila maamuzi ya serikali, yawe maamuzi mabaya au mazuri!!
1. Kuhusu IPTL... ilikuwa local na siyo lazima wana-share wote wawe watanzania.Nani kakuambia IPTL ilikuwa local?! Au kwavile 30% ilikuwa inamilikiwa na Ruge ndo unasema local?! Btw, kwani kampuni inasaidia vp uchumi kama sio through ajira na kodi?! Unataka kuniambia MaxMalipo walikuwa hawatoi kwa ajira kwa Watanzania?! Unataka kusema MaxMalipo walikuwa hawalipi kodi?
! Kwamba walikuwa wana-create unnessary cost! Kama cost ipi kwa mfano?!! I doubt ikiwa hata unafahamu utendaji wa kazi wa kampuni kama MaxMalipo vinginevyo wala usiongea hiyo hoja!
Tuchukue TANESCO kwa mfano! TANESCO wanaingia mkataba na MaxMalipo kwa makubaliano kwamba kwa kila Sh. 100 wanayokusanya wao, watabaki na 20 na sh. 80 inaenda TANESCO lakini bei ya umeme inabaki constant! Sasa hizo unnessary cots kwa serikali unazi-create vipi? Au walikuwa wanazi-create kwa sababu kinyume mchake wateja wangeendelea tu kwenda kupanga foleni kwenye ofisi za TANESCO ili hatimae TANESCO wawe wanachukua Sh. 100 yote?! Btw, vipi kuhusu kampuni za simu ambazo kwa bidhaa zingine zilikuwa zinatoa similar services?! Au waliokuwa wanaiibia serikali ni MaxMalipo tu lakini kampuni za simu ni malaika kwenye utendaji wa biashara?!
Hakika uu mmojawapo wa walioathirika na huu uamuzi wa serikali. Sorry, kachukue jembe ukalime! Wakati wa kuishi kwa ujanja janja kama nzi kwa kulamba vidonda ulipita.Huyu macho_mdiliko anashangaza sana! Wala haielekei kwamba hana elimu bali ni miongoni mwa wale ambao wapo kutetea kila maamuzi ya serikali, yawe maamuzi mabaya au mazuri!!
Liwe somo pia kwa watu wanaopenda kudandia hizi affiliate programs/ frachise za level ya chini. Mtoa franchise akiyumba anayumba na network yake yote! Ss iv patner wa max malipo are almost out of business. Pia makampuni ya vinywaji nayo yana mfumo huu cocacola, pepsi , serengeti breweries etc. Tujenge tabia ya kiwekeza kwenye fursa ambazo zina degree kubwa ya freedom, franchising kwa kifupi ni kumfanyia kazi mtoa franchise kwa tu mapato tudogo sana! Useless!Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
This's too low!!! Hoja nyepesi kama hizi wenzako walishaachana nazo zamani baada ya kugundua wao wenyewe tayari wameshakuwa sehemu ya waathirika wakubwa wa mipango ya JPM pengine kuliko sie wengine!!Sijawahi kufanya kazi serikalini na wala sijawahi kutamani i!! Sijawahi kufanya biashata ya aina yoyote na serikali, japo ya kuuza ubuyu mashuleni na wala sijawahi kuitamanii! Hata hizo mashine zenyewe za MaxMalipo sijawahi hata mara moja japo kuzigusa; sasa unaweza kujiuliza ni watetea mfumo wangapi walikuwa wanakula kamisheni za MaxMalipo!!!Hakika uu mmojawapo wa walioathirika na huu uamuzi wa serikali. Sorry, kachukue jembe ukalime! Wakati wa kuishi kwa ujanja janja kama nzi kwa kulamba vidonda ulipita.
Then all businesses in the country are local!1. Kuhusu IPTL... ilikuwa local na siyo lazima wana-share wote wawe watanzania..
Utakuja kuelewa tu~2. Ni kweli kampuni inachangia uchami kwa kutowa ajira na kulipa kodi, na kama ian uwezo wa ku-export tunapata fedha za kigeni.
NImekuuliza zaidi ya mara moja walikuwa wanaibia vp serikali lakini hujajibu hilo swali! Kwahiyo, ama unaongea out of majungu au u hodari wa kubeba maneno ya vichochoroni!!3. LAKINI kutoa ajira na kulipa kodi kusije in expense ya kuikamua serikali otherwise itakuwa kama kujaza maji kwenye mtungi mbovu.
Kuweza kufanya ni jambo moja na kufanya ni jambo lingine! Ulitakiwa kujibu ikiwa huduma zilizokuwa zinatolewa na MaxMalipo pia zilikuwa zinatolewa na serikali lakini zitupwa kapuni in favor of MaxMalipo!4. Ndiyo maana nasema walikuwa wana create cost zsizo na mashiko kwa sababu serikali au shirika la serikali LINAWEZA kufanya hicho hicho walichokuwa wanakifanya hao jamaa kwa cost ndogo zaidi.