Maximo.......je unamkumbuka kwa lipi?


Watu wengine bwana asa una fananisha ligi ya ujerumani hii ya kwetu? hii mbayo ukitaka kushinda unawapa rushwa wachezaji au unanunua marefaa? kamuulize dewij atakuambia kwanini ameamua kupiga chini african lyon?
 
Nchi yetu kwa kweli soka bado kwa mtaji huu hata aje Vicente,Mourinho,Fergie na Wenger,na hii inatokana ni miundo mbinu mibovu,labda tumpe kazi Mchungaji Masanilo :biggrin1: awafundishe komunikesheni skili wachezaji wetu wawapo uwanjani maana mechi yao vs Morocco wamecheza mpira wa kibinafsi sana na sio kitimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…