AUGUSTINO CHIWINGA
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 220
- 689
Mkuu source ya habari yako please if u don't mind.Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF.
Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya kazi kama Katibu mkuu enzi za Rais Leodgar Chilla Tenga na kila mtu aliona jinsi soka la Tanzania lilivyopiga hatua kipindi kile.
Maximo akaongeza kwamba Mwakalebela atatumia mbinu na mikakati ileile aliyoitumia wakati wa Tenga ili kuendeleza mpira wa miguu Tanzania.
Akamaliza kusema Mwakalebela ni mtu anayeamini katika soka la Vijana, soka la wanawake na uadilifu katika utawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ubaya gani akirudi?Maximo anajua Mwakalebela akipita atapata shavu la kuinoa stars kwa hiyo apo anatengeneza ugali wake japo tukimpima Mwakalebela kwa historia yake ya nyuma anamzidi Ally Mayai kwa CVs
Mkuu Maximo ni vema ukatuambia na kiasi ulicholipwa kumpigia kampeni mtoa rushwa Mwakalebela ( ikumbukwe kwamba aliwahi kuondolewa kugombea ubunge ccm kwa sababu ya rushwa , akishirikiana na mkewe .Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF.
Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya kazi kama Katibu mkuu enzi za Rais Leodgar Chilla Tenga na kila mtu aliona jinsi soka la Tanzania lilivyopiga hatua kipindi kile.
Maximo akaongeza kwamba Mwakalebela atatumia mbinu na mikakati ileile aliyoitumia wakati wa Tenga ili kuendeleza mpira wa miguu Tanzania.
Akamaliza kusema Mwakalebela ni mtu anayeamini katika soka la Vijana, soka la wanawake na uadilifu katika utawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi umeona nimeandika kuna ubaya wowote?Kuna ubaya gani akirudi?