Maxio Maximo asema Mwakalebela ndio anafaa kwa urais wa TFF

Maxio Maximo asema Mwakalebela ndio anafaa kwa urais wa TFF

d8752325ba930748510c9e1b0a8f5b09.jpg
 
Tatizo la mpira wetu...ni siasa...viongozi wengi.wanakua wanasiasa...sasa ni wakati wa wanamichezo kushika hatamu...ally mayai...namfahamu ni mwadilifu na ni mchapakazi...anamapenz na yanga africa...lakn..kwenye ukweli atasimamia namwamini....anaweza kutuvusha.....tumpe ajaribu maana ndio damu changa pale...

Sent using Jamii Forums mobile app
659acb36dbb88708cae2005b23b35c42.jpg
 
Mpira wenyewe wanatupaga aibu kuanzia nyumbani mpaka ughaibuni[emoji33] [emoji33] wanacheza nanihi zao tu mule wanatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF.

Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya kazi kama Katibu mkuu enzi za Rais Leodgar Chilla Tenga na kila mtu aliona jinsi soka la Tanzania lilivyopiga hatua kipindi kile.

Maximo akaongeza kwamba Mwakalebela atatumia mbinu na mikakati ileile aliyoitumia wakati wa Tenga ili kuendeleza mpira wa miguu Tanzania.

Akamaliza kusema Mwakalebela ni mtu anayeamini katika soka la Vijana, soka la wanawake na uadilifu katika utawala.



Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyemwambia sisi tunamtaka wa aina ya mwakalebela ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom